-
Upinzani Kenya: Maafisa wa uchaguzi wametishiwa maisha
Sep 08, 2017 12:31Kiongozi wa Muungano wa upinzani Kenya (NASA) Raila Odinga amesema leo kuwa maisha ya baadhi ya maafisa wa ngazi ya juu wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya nchi hiyo yanakabiliwa na tishio kubwa kutoka serikalini kabla ya kufanyika uchaguzi mpya wa rais mwezi ujao.
-
Al Shabaab wawaua kwa kuwakata vichwa Wakenya wanne katika Kaunti ya Lamu
Sep 06, 2017 11:53Wanamgambo wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Al Shabaab la Somalia wamewaua kwa kuwakata vichwa wanaume wanne raia wa Kenya katika mashambulio mawili tofauti waliyofanya katika Kaunti ya Lamu kwenye pwani ya kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Odinga: Nitashiriki uchaguzi wa marudio Kenya kwa masharti
Sep 05, 2017 09:29Kinara wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga amesema muungano wa upinzani wa NASA hautashiriki uchaguzi wa marudio uliopangwa kufanyika Oktoba 17 iwapo masharti waliyoyatoa hayatatekelezwa.
-
AU yapongeza uamuzi wa mahakama ya juu Kenya kubatilisha uchaguzi wa rais
Sep 04, 2017 22:07Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika AU amekaribisha uamuzi wa mahakama ya juu nchini Kenya wa kufuta matokeo ya uchaguzi wa rais nchini humo.
-
Kiongozi wa upinzani Kenya: Hatutagawana madaraka
Sep 03, 2017 09:30Raila Odinga kiongozi wa muungano wa upinzani nchini Kenya (NASA) amesema leo kuwa muungano wake hautachangia madaraka, ikiwa zimepita siku mbili baada ya Mahakama ya Juu ya nchi hiyo kutengua uchaguzi wa rais uliofanyika mwezi uliopita na kuagiza kufanyika mwingine katika muda wa siku 60.
-
Rais wa Kenya ashambulia Mahakama, aapa 'kuziangalia upya' baada ya uchaguzi wa marudio
Sep 02, 2017 10:46Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema nchi hiyo ina kile alichokitaja kama "tatizo" na vyombo vyake vya Mahakama ambalo ni lazima lirekebishwe.
-
Uamuzi wa Mahakama Kuu ya Kenya na ishara za kukomaa demokrasia
Sep 02, 2017 05:24Mahakama ya Juu ya Kenya imetengua matokeo ya uchaguzi wa rais uliofanyika mwezi uliopita nchini humo na kumpa ushindi Rais wa sasa wa nchi hiyo, Uhuru Kenyatta.
-
Mahakama ya Juu Kenya yatengua matokeo ya uchaguzi wa Rais
Sep 01, 2017 05:00Mahakama ya Juu ya Kenya imetengua matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi uliopita nchini humo na kumpa ushindi Rais wa sasa wa nchi hiyo, Uhuru Kenyatta.
-
SAUTI, Mahakama Kuu Kenya yauruhusu upinzani kukagua Computer za IEBC ili kuthibitisha kama kuna wizi ulivyofanyika kwenye uchaguzi
Aug 28, 2017 12:53Kesi inayopinga matokeo ya urais nchini Kenya imeanza kusikilizwa rasmi na mahakama ya juu zaidi nchini humo hii leo, huku uapnde wa malalamiko ambao ni muungano wa upinzani ukianza utetezi wake kwa saa tano.
-
Usafirishaji bidhaa za Iran nchini Kenya kuongezeka kwa asilimia 100 katika mwaka 2017
Aug 27, 2017 10:23Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Kenya amesema usafirishaji bidhaa zisizo za mafuta za Iran kuelekea nchini Kenya katika miezi sita ya kwanza ya mwaka huu wa 2017 ulikuwa wa kiwango cha dola milioni 58 na inakadiriwa kuwa hadi ifikapo mwishoni mwa mwaka huu kiwango hicho kitaongezeka kwa kasi kubwa na kufikia asilimia 100.