Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • NASA: Tutakubali matokeo ya uchaguzi kwa masharti

    NASA: Tutakubali matokeo ya uchaguzi kwa masharti

    Aug 11, 2017 12:38

    Muungano wa upinzani wa NASA nchini Kenya umetangaza kuwa utakubali matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika juzi kote nchini humo iwapo utaruhusiwa kutazama data za asili katika sava za kumputa za Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya nchi hiyo (IEBC).

  • EU yazitaka pande zote kuheshimu sheria nchini Kenya

    EU yazitaka pande zote kuheshimu sheria nchini Kenya

    Aug 11, 2017 11:23

    Umoja wa Ulaya umetangaza kuwa unafuatilia kwa makini mwenendo wa uchaguzi wa hivi karibuni huko Kenya.

  • Taharuki Kenya huku matokeo ya uchaguzi wa urais yakisubiriwa kwa hamu

    Taharuki Kenya huku matokeo ya uchaguzi wa urais yakisubiriwa kwa hamu

    Aug 11, 2017 03:15

    Hali ya taharuki imetanda nchini Kenya huku Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini humo (IEBC) ikitazamiwa kumtangaza mshindi wa uchaguzi wa urais wakati wowote tokeo sasa hii leo.

  • Upinzani Kenya waitaka IEBC imtangaze Raila Odinga mshindi wa uchaguzi wa urais

    Upinzani Kenya waitaka IEBC imtangaze Raila Odinga mshindi wa uchaguzi wa urais

    Aug 10, 2017 10:47

    Mrengo wa upinzani wa NASA nchini Kenya umeitaka Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC imtangaze mgombea wa muungano huo Raila Odinga kuwa, mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika nchini humo siku ya Jumanne.

  • KDF yashambulia ngome za al-Shabaab karibu na Afmadow, Somalia

    KDF yashambulia ngome za al-Shabaab karibu na Afmadow, Somalia

    Aug 10, 2017 10:15

    Ndege za Jeshi la Ulinzi la Kenya KDF zimeshambulia ngome za kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katika eneo la Weelmarow karibu na wilaya ya Afmadow, eneo la Lower Juba, kusini mwa Somalia.

  • Wakenya watakiwa kudumisha amani; waangalizi wataka madai ya upinzani kuchunguzwa

    Wakenya watakiwa kudumisha amani; waangalizi wataka madai ya upinzani kuchunguzwa

    Aug 10, 2017 10:09

    Waangalizi wa kimataifa wa uchaguzi wa Kenya uliofanyika siku ya Jumanne wametoa wito na kuwataka wananchi wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki kudumisha amani na utulivu.

  • Watu 5 wameuawa katika ghasia za baada ya uchaguzi mkuu Kenya

    Watu 5 wameuawa katika ghasia za baada ya uchaguzi mkuu Kenya

    Aug 10, 2017 04:18

    Watu 5 wameripotiwa kuuawa katika ghasia na machafuko ya baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika juzi nchini Kenya baada ya kinara wa kambi ya upinzani, Raila Odinga kudai kuwa kumefanyika udanganyifu mkubwa.

  • Igad: Uchaguzi mkuu Kenya umefanyika kwa amani, uwazi na utaratibu sahihi

    Igad: Uchaguzi mkuu Kenya umefanyika kwa amani, uwazi na utaratibu sahihi

    Aug 09, 2017 11:41

    Timu ya wasimamizi wa uchaguzi ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiserikali wa Nchi za Mashariki na Pembe ya Afrika (Igad) imeipongeza Tume Huru ya Uchaguzi ya Kenya (IEBC) kwa kusimamia uchaguzi kwa njia sahihi na kusema kuwa, tume hiyo inapaswa kuwa kigezo cha kuigwa na nchi nyingine za Afrika.

  • Kaimu Waziri wa Usalama wa Ndani Kenya awaonya wanaoeneza ujumbe wa chuki mitandaoni

    Kaimu Waziri wa Usalama wa Ndani Kenya awaonya wanaoeneza ujumbe wa chuki mitandaoni

    Aug 09, 2017 11:03

    Kaimu Waziri wa Usalama wa Ndani wa Kenya amewaonya watu wanaoeneza ujumbe wa chuki katika mitandao ya kijamii na kusambaza ripoti au taarifa zinazotishia usalama wa taifa.

  • Ngombea Urais akiri kushindwa Kenya, mmoja auawa kituo cha uchaguzi Kisii

    Ngombea Urais akiri kushindwa Kenya, mmoja auawa kituo cha uchaguzi Kisii

    Aug 09, 2017 10:29

    Mgombea urais wa kujitegemea katika uchaguzi mkuu wa Kenya amekiri kushindwa baada ya matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais kuonesha kuwa, ameshika nafasi ya sita kwa kupata kura elfu 11 na 256.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS