Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • UN yaipongeza Kenya kwa kubadili adhabu ya kifo kuwa kifungo cha maisha jela

    UN yaipongeza Kenya kwa kubadili adhabu ya kifo kuwa kifungo cha maisha jela

    Oct 30, 2016 03:49

    Umoja wa Mataifa umepongeza hatua ya Kenya ya kubadilisha adhabu ya kifo kuwa kifungo cha maisha jela kwa maelfu ya watu waliokuwa wakisubiri kutekelezwa hukumu hiyo dhidi yao.

  • Kenya yapiga marufuku kutoka nje usiku mjini Mandera

    Kenya yapiga marufuku kutoka nje usiku mjini Mandera

    Oct 28, 2016 01:09

    Serikali ya Kenya imetangaza marufuku ya kutotembea majira ya usiku kwa muda wa siku 60 eneo la Mandera, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

  • Al-Shabaab yafanya tena ukatili Kenya, yaua 12 Mandera

    Al-Shabaab yafanya tena ukatili Kenya, yaua 12 Mandera

    Oct 25, 2016 04:10

    Watu 12 wameuawa na wengine wengi kuachwa na majeraha ya risasi baada ya wanachama wa kundi la kigaidi la al-Shabaab kushambulia hoteli moja mjini Mandera, kaskazini mashariki mwa nchi, usiku wa jana.

  • Rais Kenyatta awafutia adhabu ya kifo wafungwa 2,747

    Rais Kenyatta awafutia adhabu ya kifo wafungwa 2,747

    Oct 24, 2016 12:11

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amebadili hukumu zote za kifo nchini humo na kuzifanya kifungo cha maisha jela.

  • Kenya yatahadharisha  madola ya kigeni kuhusu kufadhili vyama vya upinzani

    Kenya yatahadharisha madola ya kigeni kuhusu kufadhili vyama vya upinzani

    Oct 23, 2016 11:25

    Spika wa Bunge la Kitaifa la Kenya Justin Muturi ametahadharisha kuhusu mpango wa baadhi ya madola ya kigeni kufadhili kampeni za vyama vya upinzani kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2017.

  • Mbio za kumrithi Mwenyekiti wa Kamisheni ya AU zashika kasi

    Mbio za kumrithi Mwenyekiti wa Kamisheni ya AU zashika kasi

    Oct 15, 2016 04:52

    Kinyang'anyiro cha kuwania uenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika kimeendelea kupamba moto huku Chad ikimteua Moussa Faki Mahamat, Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo kuwania nafasi hiyo.

  • SAUTI: Mgogoro wa Jamii ya Wakenya wasiokuwa na uraia wa taifa hilo wazidi kupanuka na sasa ukiwasukuma watu hao kwenda ikulu

    SAUTI: Mgogoro wa Jamii ya Wakenya wasiokuwa na uraia wa taifa hilo wazidi kupanuka na sasa ukiwasukuma watu hao kwenda ikulu

    Oct 11, 2016 13:38

    Jamii ya Wakenya wasiokuwa na uraia wa taifa hilo wanaoishi maeneo ya pwani, wameanzisha matembezi ya amani ya umbali wa zaidi ya kilomita 600 kuelekea ikulu ya Rais Uhuru Kenyatta jijini Nairobi.

  • Gavana wa Mombasa adai  Masheikhe 24  wameuawa na serikali

    Gavana wa Mombasa adai Masheikhe 24 wameuawa na serikali

    Oct 08, 2016 23:32

    Gavana wa ODM katika kaunti ya Mombasa nchini Kenya ameikosoa vikali serikali kutokana na kukithiri mauaji ya washukiwa mbali mbali na hususan wa ugaidi na kudai kuwa vyombo vya usalama nchini humo vimeua Masheikh zaidi ya 24 katika miaka ya hivi karibuni.

  • Watu sita wauliwa na al Shabab nchini  Kenya

    Watu sita wauliwa na al Shabab nchini Kenya

    Oct 06, 2016 04:24

    Wanamgambo wanaoshukiwa kuwa wa kundi la kigaidi la al Shabab wamewaua watu sita katika shambulio lililofanywa na kundi hilo leo asubuhi huko Kenya.

  • UN: Wakimbizi 70,000 wa Dadaab wanataka kurudu Somalia

    UN: Wakimbizi 70,000 wa Dadaab wanataka kurudu Somalia

    Oct 04, 2016 04:32

    Umoja wa Mataifa umesema robo ya wakimbizi wa Kisomali wanaoishi katika kambi ya Dadaab nchini Kenya wametangaza utayarifu wao wa kurejea nchini kwao Somalia karibuni hivi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS