-
Nchi za Afrika Mashariki kupiga marufuku mitumba
Feb 27, 2016 22:59Viongozi wa nchi za Afrika Mashariki watakutana Arusha, Tanzania Jumatano ijayo kujadili upigaji marufuku uingizaji wa nguo zilizotumika au mitumba, magari yaliyotumika na bidhaa za ngozi kutoka nje ya eneo eneo hilo.
-
Wapalestina wamkosoa Kenyatta kwa kutembelea Israel
Feb 26, 2016 12:45Maafisa wa serikali ya Palestina wamemkosoa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa kutembelea vitongoji haramu huko Israel katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Viongozi wakuu serikalini wakana kuhusika na ufisadi Kenya
Feb 24, 2016 21:56Waziri wa zamani wa Ugatuzi nchini Kenya, amesema baadhi ya wanasiasa mashuhuri kutoka muungano unaotawala wa Jubilee walihusika na ufisadi wa shilingi milioni 791 zilizopotea kutoka kwenye hazina ya NYS.
-
Kenya: Tumemuua kamanda wa Intelijinsia wa Al-Shabab
Feb 18, 2016 11:36Jeshi la Kenya limetangaza kuwa limemuua kamanda mkuu wa kikosi maalumu cha kundi la kigaidi na kitakfiri la Al-Shabab la Somalia ambaye anaaminika kuwa ndiye aliyepanga shambulio hatari la mwezi uliopita dhidi ya kambi ya wanajeshi wa Kenya huko kusini mwa Somalia.
-
Jela ya wenye misimamo mikali kujengwa Kenya
Feb 17, 2016 11:41Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema njia pekee ya kupunguza kuenea athari mbaya za ugaidi na madudu yake ni kupitia kuundwa jela ya aina yake itakayotumiwa kuwafungia watu wenye misimamo mikali.
-
Paspoti za kielektroniki kuzinduliwa Afrika Mashariki
Feb 17, 2016 03:55Raia wa Nchi za Afrika Mashariki wataanza kutumia paspoti za kielektroniki ambazo zitatumika kurahisisha usafiri kwa wananchi wa eneo hilo.
-
Serikali ya Kenya: Tuko imara katika ugatuzi
Feb 13, 2016 03:07Serikali ya Kenya imesisitiza kwamba kwamba ipo imara kuimarisha ugatuzi kinyume na madai yanayotolewa na wapinzani.
-
Upinzani Kenya kumshtaki rais kwa tuhuma za ufisadi
Feb 07, 2016 10:42Viongozi wa upinzani nchini Kenya wamesema kuwa wanajiandaa kwenda mahakamani kumshtaki Rais Uhuru Kenyatta wa nchi hiyo na naibu wake William Ruto, kwa kushindwa kuwaeleza wananchi nanmna walivyotumia mkopo wa Eurobond wa shilingi bilioni 253 za Kenya.
-
Waislamu Kenya walaani kupewa likizo ya lazima Sumaya Uthman
Feb 06, 2016 08:21Wataalamu wanawake wa Kiislamu nchini Kenya kupewa likizo ya lazima Sumaya Uthman.