-
Kiongozi Muadhamu: Siku ya Quds; nembo ya mapambano dhidi ya uistikari na mabeberu
Jun 22, 2017 09:06Akizungumza hapo siku ya Jumatano alasiri na wahadhiri, wanachama wa majopo ya kielimu, watafiti na wasomi wa vyuo vikuu, Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria nafasi muhimu na isiyo na mbadala ya wahadhiri katika malezi ya wanachuo na kuainisha muelekeo wa Iran katika ulimwengu wa leo uliojaa matukio na kusema kuwa Siku ya Kimataifa ya Quds ina umuhimu mkubwa.
-
Kiongozi: Kupambana na utawala wa Kizayuni ni kupambana na ubeberu na uistikbari
Jun 21, 2017 23:06Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameitaja Siku ya Kimataifa ya Quds kuwa yenye umuhimu mkubwa na kuongeza kuwa: "Siku hii mbali na kuwa ni siku ya kuunga mkono taifa lililodhulumiwa pia ni nembo ya kupambana na uistikbari na ubeberu duniani."
-
Kiongozi: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko imara, itatoa pigo kwa adui
Jun 18, 2017 23:23Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesimama imara na kwamba taifa la Iran litatoa pigo kwa adui.
-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Mashambulizi ya kigaidi ya Tehran hayatavuruga azma ya taifa la Iran
Jun 09, 2017 03:51Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei ametoa ujumbe wa rambirambi kwa mnasaba wa mashambulizi ya kigaidi yaliyofanyika siku chache zilizopita mjini Tehran akisisitiza kuwa, jinai hiyo haiwezi kutia doa katika irada na azma ya taifa la Iran.
-
Kiongozi Muadhamu: Magaidi hawawezi kufua dafu mbele ya irada ya taifa la Iran
Jun 08, 2017 00:22Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu alasiri ya jana alihutubia hadhara ya wanafunzi wa vyuo vikuu waliokwenda kuonana naye na kusema kuwa, mashambulizi ya kigaidi yaliyofanyika jana mjini Tehran hayawezi kutia doa katika irada na azma kubwa ya taifa na viongozi wa Iran.
-
Hauli ya Imam Khomeini (MA) kufanyika kesho; Kiongozi Muadhamu atahutubia waombolezaji
Jun 03, 2017 10:41Hauli ya mwaka wa 28 tangu alipoaga dunia mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Imam Khomeini (MA) itafanyika kesho kwenye haram ya kiongozi huyo ambapo Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei anatazamiwa kuhutubia umma wa wananchi watakaohudhuria hauli hiyo.
-
Kiongozi Muadhamu atoa dola 85,000 ili kuachiliwa wafungwa walio na madeni
May 29, 2017 23:08Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa kiasi cha dola 85,000 kwa lengo la kusaidia kuachiliwa huru wafungwa wenye makosa yasiyo ya kukusudia ikiwa ni katika kulipa fidia ya makosa yao.
-
Kiongozi Muadhamu: Kujitetea kutakatifu ni athari muhimu kwa ajili ya leo na kesho
May 25, 2017 00:46Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, amesema kuwa moja ya masomo ya kudumu milele ya kipindi cha kujitetea kutakatifu ni kwamba kumtegemea Mwenyezi Mungu kivitendo na kujitolea nafsi, bila shaka kunawawezesha waumini kuzishinda changamoto mbalimbali zinazowakabili maishani.
-
Kiongozi Muadhamu awataka wananchi wa Iran wajitokeze kwa wingi katika uchaguzi wa leo
May 19, 2017 00:09Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza juu ya udharura wa wananchi wa Iran kujitokeza kwa wingi katika uchaguzi wa leo.
-
Kiongozi Muadhamu atoa mkono wa pole kufuatia ajali ya mgodi wa madini Iran
May 04, 2017 10:03Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa mkono wa pole kufuatia kufadiki dunia wachimba migodi katika mkoa wa Golestan wa kaskazini mashariki mwa Iran na kusema kuwa, kuna wajibu wa kuchukuliwa hatua madhubuti za kuwaokoa watu waliokwama ndani ya mgodi huo.