-
Kiongozi Muadhamu awataka wananchi wa Iran wajitokeze kwa wingi katika uchaguzi wa leo
May 19, 2017 00:09Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza juu ya udharura wa wananchi wa Iran kujitokeza kwa wingi katika uchaguzi wa leo.
-
Kiongozi Muadhamu atoa mkono wa pole kufuatia ajali ya mgodi wa madini Iran
May 04, 2017 10:03Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa mkono wa pole kufuatia kufadiki dunia wachimba migodi katika mkoa wa Golestan wa kaskazini mashariki mwa Iran na kusema kuwa, kuna wajibu wa kuchukuliwa hatua madhubuti za kuwaokoa watu waliokwama ndani ya mgodi huo.
-
Rouhani: JCPOA imetekelezwa kwa mujibu wa miongozo ya Kiongozi Muadhamu
Apr 30, 2017 11:43Rais Hassan Rouhani amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetekeleza makubaliano ya nyuklia ya Vienna kwa mujibu wa miongozo ya busara ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.
-
Sisitizo la Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu juu ya kulindwa utambulisho wa Kiislamu na maarifa ya Qur'ani
Apr 28, 2017 03:16Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hii leo ulimwengu wa ukafiri umekusudia kufuta kabisa utambulisho wa Kiislamu katika kila pembe ya dunia. Ayatullah Sayyid Ali Khamenei alisema hayo jana Alkhamisi alipokutana na maustadhi, maqarii na mahufadhi wa Qur'ani Tukufu walioshiriki katika Mashindano ya 34 ya Kimataifa ya Qur'ani hapa nchini Iran kutoka nchi 83 za dunia na kubainisha kwamba, utambulisho wa Kiislamu unazuia uingiliaji na ubeberu wa maadui.
-
Kiongozi Muadhamu: Uislamu ndio sababu ya uadui wa Marekani na utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran
Apr 25, 2017 11:37Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Marekani na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel zinaipinga Iran ya Kiislamu kwa kuwa Uislamu umedhihiri nchini hapa na ndio unaozuia tamaa zao.
-
40 wapoteza maisha katika mafuriko Iran, Kiongozi Muadhamu atoa kauli
Apr 16, 2017 02:53Makumi ya watu wamepoteza maisha katika janga la mafuriko kwenye mikoa ya kaskazini magharibi mwa Iran.
-
Kiongozi Muadhamu: Hujuma ya Marekani Syria ni kosa la kistratijia
Apr 09, 2017 12:12Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria hujuma ya hivi karibuni ya Marekani nchini Syria na kusema: "Ni jambo linalotarajiwa kwa Marekani kutenda jinai na kukiuka mambo na kudhulumu na imewahi kuyafanya hayo katika maeneo mengine duniani."
-
Hizbullah: Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ni mhuishaji halisi wa Uislamu
Apr 04, 2017 23:39Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ni kiongozi wa kipekee katika zama hizi na mhuishaji halisi wa Uislamu kifikra na kivitendo.
-
"Kiongozi Muadhamu katu hatoruhusu vitisho kutoka kwa maadui"
Mar 10, 2017 12:21Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei, katu hatokubali vitisho na chokochoko za maadui.
-
Kiongozi Muadhamu: Misitu na rasilimali inapasa vilindwe na uvamizi wa wafanyabiashara
Mar 08, 2017 12:59Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo asubuhi amepanda miche miwili ya miti ya matunda katika maadhimisho ya Wiki ya Rasilimali za Maliasili nchini.