-
Kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Wanawake: Zaidi ya wanawake 12,000 wa Kipalestina wameuawa katika vita vya Gaza
Mar 08, 2025 12:54Idara ya Habari ya Serikali ya Palestina katika Ukanda wa Gaza imetangaza kuwa: Wanawake 12,316 wa Kipalestina wameuawa shahidi katika vita vya mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni Israel dhidi ya watu wa Gaza.
-
Chicago yamuenzi mtoto Muislamu Mpalestina wa miaka 6 aliyeuliwa kikatili kwa kuchomwa kisu mara 26
Feb 17, 2025 06:47Viongozi wa mji wa Plainfield ulioko katika jimbo la Chicago nchini Marekani, wameamua kuupa uwanja wa michezo na burudani kwa watoto jina la mtoto mmoja wa Kiislamu mwenye asili ya Palestina.
-
Wanamichezo 708 wameuawa shahidi tangu kuanza vita vya Gaza
Jan 12, 2025 11:44Katibu Mkuu wa Umoja wa Vyombo vya Habari vya Michezo vya Palestina ametangaza kuwa, wanamichezo 708 wa Kipalestina wameuawa shahidi katika vita vya Gaza.
-
Mtoto mchanga wa tano afariki dunia Ghaza kutokana na baridi kali na kukosekana kwa vifaa
Dec 29, 2024 13:02Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina UNRWA ametoa indhari kuhusu vifo vya watoto Wapalestina vinavyoongezeka kutokana na baridi kali na kukosekana kwa vifaa vya kutosha.
-
Kan'ani Chafi: Mataifa ya Kiislamu yanapaswa kutoa uungaji mkono athirifu zaidi kwa haki za Wapalestina
Aug 04, 2024 12:40Nasser Kan'ani, msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran, ametoa wito kwa serikali za Kiislamu kuunga mkono haki za Wapalestina kwa ufanisi zaidi.
-
Iran yakosoa mtazamo wa nchi za Magharibi kuhusu haki za binadamu
Feb 02, 2023 12:12Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa mtazamo wa nchi za Magharibi kuhusu haki za binadamu kwa kuchapisha picha za mashahidi wa Kipalestina waliouawa na jeshi la Israel katika mwezi uliopita.
-
Jumla ya Wapalestina 35 wameuliwa shahidi na Israel mwezi Januari pekee
Jan 31, 2023 02:23Wizara ya Afya ya Palestina imetangaza kuwa, mwezi Januari mwaka huu ndio mwezi uliojaa umwagaji damu mkubwa zaidi katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan baada ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuwaua shahidi Wapalestina 38.
-
Shtayyeh: Wapalestina 220 wameuawa shahidi mwaka huu wa 2022
Dec 28, 2022 08:03Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema: Tangu mwanzoni mwa mwaka huu utawala wa Kizayuni wa Israel umewaua shahidi Wapalestina zaidi ya 220 katika maeneo tofauti ya Palestina.
-
OIC yalaani jinai za utawala wa Kizayuni huko Jenin
Dec 10, 2022 03:13Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani hujuma ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya mji na kambi ya wakimbizi ya Jenin, mauaji ya Wapalestina wanne na pia hujuma dhidi ya Msikiti wa Ibrahim na shule za Palestina.
-
Afungwa jela miezi 13 kwa kuandika sentensi moja ya kuunga mkono Muqawama wa Palestina
Oct 20, 2022 07:31Mahakama ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel imemhukumu Mpalestina mmoja anayeishi katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu kifungo cha miezi 13 jela kwa kuandika mtandaoni sentensi moja ya kuunga mkono muqawama wa Palestina.