Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Korea Kaskazini

  • Baada ya kukataa kukutana na Kim Jong-un, Trump aitaka Pentagon ijiandae kukabiliana na Pyongyang

    Baada ya kukataa kukutana na Kim Jong-un, Trump aitaka Pentagon ijiandae kukabiliana na Pyongyang

    May 25, 2018 09:29

    Rais Donald Trump wa Marekani amelitaka jeshi na Wizara ya Ulinzi ya nchi hiyo (Pentagon) kujiweka tayari kwa ajili ya makabiliano tarajiwa na Korea Kaskazini.

  • Trump: Huenda kiongozi wa Korea Kaskazini akapatwa na hatima kama ya Gaddafi

    Trump: Huenda kiongozi wa Korea Kaskazini akapatwa na hatima kama ya Gaddafi

    May 18, 2018 23:43

    Rais Donald Trump wa Marekani amemuonya kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un kuwa huenda akapatwa na hatima kama iliyomfika kiongozi wa zamani wa Libya, Kanali Muammar Gaddafi, iwapo Pyongyang haitaachana na mradi wake wa silaha za nyuklia.

  • Onyo la Korea Kaskazini kwa Marekani, lailazimisha Washington kurejea nyuma

    Onyo la Korea Kaskazini kwa Marekani, lailazimisha Washington kurejea nyuma

    May 17, 2018 23:23

    Kufuatia onyo kali la Korea Kaskazini la kutaka kuvunja kikao tarajiwa kati ya kiongozi wa nchi hiyo na Rais wa Marekani hapo tarehe 12 Juni mwaka huu, hatimaye Washington imelazimika kutangaza kwamba ndege za kivita zenye kubeba mabomu ya nyuklia hazitashirki katika maneva ya pamoja ya anga ya nchi hiyo na Korea Kusini.

  • Onyo la Korea Kaskazini kwa Marekani

    Onyo la Korea Kaskazini kwa Marekani

    May 17, 2018 03:22

    Katika radiamali ya matamshi ya viongozi wa Marekani dhidi ya Korea Kaskazini na kadhalika maneva ya anga ya kijeshi kati ya Marekani na Korea Kusini, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Korea Kaskazini ametahadharisha kwamba, iwapo Washington itaendeleza mashinikizo yake dhidi ya Pyongyang kuhusu mpango wake wa nyuklia, basi nchi hiyo italazimika kuangalia upya kikao tarajiwa kati ya Trump na Kim Jong-un.

  • Korea Kaskazini yatishia kufuta mkutano wake na Marekani

    Korea Kaskazini yatishia kufuta mkutano wake na Marekani

    May 16, 2018 02:49

    Korea Kaskazini imetishia kufuta mkutano kati ya kiongozi wake, Kim Jong-un na Rais Donald Trump wa Marekani, kutokana na kile inachodai kuwa ni chokochoko za Washington na Korea Kusini dhidi yake.

  • Korea Kaskazini yawaalika waandishi wa habari wa Korea Kusini kuzuru maeneo yake ya nyuklia

    Korea Kaskazini yawaalika waandishi wa habari wa Korea Kusini kuzuru maeneo yake ya nyuklia

    May 15, 2018 22:10

    Wizara ya Umoja ya Korea Kusini imetangaza kwamba, serikali ya Korea Kaskazini imewataka waandishi wa habari wa Korea Kusini kutembelea na kuangalia mwenendo wa kufungwa maeneo ya kufanyia majaribio ya silaha za nyuklia ya nchi hiyo jirani.

  • Korea Kusini yashangazwa na madai ya Japan kwamba inaitumia Korea Kaskazini mafuta

    Korea Kusini yashangazwa na madai ya Japan kwamba inaitumia Korea Kaskazini mafuta

    May 14, 2018 09:29

    Serikali ya Korea Kusini sambamba na kukanusha madai ya Japan kwamba, inatuma mafuta kwenda Korea Kaskazini kwa siri, imesema kuwa Seoul imefungamana vilivyo na vikwazo vya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa dhidi ya Pyongyang.

  • Manuva ya majeshi ya anga ya Marekani na Korea Kusini katika Peninsula ya Korea

    Manuva ya majeshi ya anga ya Marekani na Korea Kusini katika Peninsula ya Korea

    May 11, 2018 09:34

    Manuva makubwa ya vikosi vya anga vya majeshi ya Marekani na Korea Kusini yameanza leo katika Peninsula ya Korea kwa kisingizio cha kuimarisha uwezo wa kushambulia wa nchi hizo mbili.

  • Korea Kaskazini: Marekani inachafua anga ya mazungumzo kwa kueneza uwongo

    Korea Kaskazini: Marekani inachafua anga ya mazungumzo kwa kueneza uwongo

    May 06, 2018 03:02

    Wiki chache kabla ya kufanyika mazungumzo yanayosubiriwa kwa shauku kuu kati ya Rais Donald Trump wa Marekani na kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, Pyongyang imekosoa vikali kile ilichokitaja kama upotoshaji wa makusudi wa Washington, kwamba sera za Trump za kushadidisha vikwazo na mashinikizo ya kisiasa dhidi ya nchi hiyo ndizo zilizopelekea Korea Kaskazini kukubali kwenda katika meza ya mazungumzo.

  • Hatimaye Korea Kaskazini yakubali kuangamiza makombora yake ya balestiki

    Hatimaye Korea Kaskazini yakubali kuangamiza makombora yake ya balestiki

    May 03, 2018 10:01

    Serikali ya Korea Kaskazini sambamba na kukubali kuangamiza makombora yake ya kutoka bara hadi bara ya balestiki, imekubali pia kutumwa wataalamu wa kimataifa kwenda kukagua taasisi za nyuklia za nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS