-
Pyongyang: Askari wa US alitorokea Korea Kaskazini kutokana na ubaguzi
Aug 17, 2023 03:13Serikali ya Pyongyang imesema askari Mmarekani mwenye asili ya Afrika alitorokea Korea Kaskazini kutokana na vitendo vya ubaguzi wa rangi na dhulma alizokuwa akishuhudia ndani ya jeshi la Marekani.
-
Putin na Kim watilia mkazo kuwepo uhusiano wa karibu zaidi kati ya Russia na Korea Kaskazini
Aug 16, 2023 02:48Rais Vladimir Putin wa Russia na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un wameahidi kujenga ushirikiano wa karibu zaidi kati ya nchi zao mbili katika mawasiliano waliyofanya kwa barua kwa manasaba wa maadhimisho ya Siku ya Taifa ya Ukombozi wa Korea Kaskazini.
-
Korea Kaskazini yakosoa msaada wa silaha za Marekani kwa Taiwan
Aug 04, 2023 07:51Korea Kaskazini imekosoa vikali hatua ya Marekani ya kuipa Taiwan msaada wa silaha wa mamilioni ya dola ikisisitiza kuwa, Washington inakitumia kisiwa hicho kinachojitawala kushadidisha taharuki na kuchochea moto wa vita katika eneo.
-
Korea Kaskazini yavurumisha makombora kujibu uchokozi wa Marekani
Jul 19, 2023 10:09Korea Kaskazini imevurumisha makombora mawili ya balestiki kuelekea Bahari ya Mashariki kujibu chokochoko za Marekani.
-
Kuendelea harakati hatari za kijeshi za Marekani barani Asia
Jun 18, 2023 10:26Sera hatari za kijeshi na za kichochezi za Marekani katika bara kubwa duniani yaani bara la Asia zingali zinaendelea.
-
Dada wa Kiongozi wa Koreka Kaskazini amuita Biden 'mzee asiye na mustakabali'
Apr 30, 2023 02:10Korea Kaskazini imemtuhumu Rais wa Marekani Joe Biden kwamba hana akili timamu baada ya kutishia kuiangamiza nchi hiyo iwapo itafanya shambulio la nyuklia na kuishutumu Marekani kwa ilichokiita sera "zilizofurutu mpaka" na za "uhasama".
-
Korea Kaskazini yafanyia majaribio droni yenye uwezo wa kufanya shambulio la nyuklia baharini
Mar 25, 2023 02:19Korea Kaskazini imeifanyia majaribio ndege mpya isiyo na rubani ya droni inayoweza kufanya mashambulizi ya nyuklia chini ya maji, likiwa ni jibu la kukabiliana na mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya Marekani na Korea Kusini.
-
Korea Kaskazini: Hatari ya kutokea vita vya nyuklia imebadilika kutoka nadharia na kuwa uhalisia
Mar 09, 2023 06:41Korea Kaskazini imeonya kuhusu kile ilichokitaja kama hatari "halisi" ya kutokea vita vya nyuklia katika ukanda na dunia nzima, kufuatia duru mpya ya mazoezi ya pamoja ya kijeshi kati ya Korea Kusini na Marekani.
-
Korea Kaskazini yaonyesha makombora mapya ya kuvuka mabara ya ICBM
Feb 09, 2023 11:59Korea Kaskazini imeonyesha makombora yake mapya ya kisasa kabisa ya balestiki, yenye uwezo wa kuvuka mabara ya ICBM.
-
Korea Kaskazini kuongeza kiwango cha silaha za nyuklia kukabili tishio la US
Jan 01, 2023 07:19Kiongozi wa Korea Kaskazini ametoa amri ya kuzalishwa makombora mapya ya balestiki ya kuvuka mabara, sambamba na kuongezwa kiwango cha silaha za nyuklia za 'kimkakati' kwa ajili ya kukabiliana na tishio la Marekani.