Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Korea Kaskazini

  • Korea Kaskazini yaapa kuimarisha zana zake za nyuklia mwaka 2018

    Korea Kaskazini yaapa kuimarisha zana zake za nyuklia mwaka 2018

    Dec 31, 2017 04:40

    Korea Kaskazini imeapa kufanyia majaribio zaidi ya zana zake za nyuklia mwaka 2018 huku ikisisitiza kuwa uwezo wake hauwezi kuangamizwa au kuvurugwa.

  • Gavana wa Ohio: Matamshi ya ovyo ya Trump dhidi ya Korea Kaskazini yanachafua amani

    Gavana wa Ohio: Matamshi ya ovyo ya Trump dhidi ya Korea Kaskazini yanachafua amani

    Dec 26, 2017 11:18

    Gavana wa jimbo la Ohio nchini Marekani, John Kasich amekosoa vikali matamshi ya Rais Donald Trump na viongozi wengine wa nchi hiyo dhidi ya Korea Kaskazini.

  • Korea Kaskazini yasema vikwazo vipya dhidi yake ni tangazo la vita

    Korea Kaskazini yasema vikwazo vipya dhidi yake ni tangazo la vita

    Dec 24, 2017 04:45

    Korea Kaskazini imekosoa vikali hatua ya kuwekewa vikwazo vipya nchi hiyo na kusisitiza kuwa kitendo hicho ni sawa na tangazo la vita dhidi yake.

  • Marekani yatoa vitisho tena vya kuishambulia kijeshi Korea Kaskazini

    Marekani yatoa vitisho tena vya kuishambulia kijeshi Korea Kaskazini

    Dec 16, 2017 04:28

    Katika kile kinachoonekana kama jaribio la kuilazimisha Korea Kaskazini iachane na mipango yake ya makombora na ya kinyuklia, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Rex Tillerson ametoa vitisho tena kwa lugha isiyo ya wazi vya kuishambulia kijeshi nchi hiyo.

  • Tillerson: Niko tayari kufanya mazungumzo na Korea ya Kaskazini

    Tillerson: Niko tayari kufanya mazungumzo na Korea ya Kaskazini

    Dec 13, 2017 04:24

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani ametangaza kuwa Washington ina hamu ya kufanya mazungumzo na Pyong Yang bila ya sharti lolote kuhusu kuipokonya silaha Korea ya Kaskazini.

  • Russia yaionya Marekani kuhusu kuchochea mgogoro wa Korea

    Russia yaionya Marekani kuhusu kuchochea mgogoro wa Korea

    Dec 11, 2017 23:06

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameionya Marekani kwa siasa zake za kuchochea na kushadidisha mgogoro wa Rasi ya Korea.

  • Korea Kaskazini: Trump ni 'jini mbaya wa nyuklia' na 'mvurugaji amani ya dunia'

    Korea Kaskazini: Trump ni 'jini mbaya wa nyuklia' na 'mvurugaji amani ya dunia'

    Dec 03, 2017 03:42

    Korea Kaskazini imesema Rais Donald Trump wa Marekani na serikali yake "wanabembeleza vitokee vita vya nyuklia" huku Washington na muitifaki wake katika Peninsula ya Korea, yaani Korea Kusini zikijiandaa kufanya manuva makubwa ya kijeshi ya angani.

  • Kombora la Korea Kaskazini lamhamakisha Trump, sasa amwita kiongozi wa nchi hiyo 'kijibwa kigonjwa'

    Kombora la Korea Kaskazini lamhamakisha Trump, sasa amwita kiongozi wa nchi hiyo 'kijibwa kigonjwa'

    Nov 30, 2017 04:36

    Rais Donald Trump wa Marekani amekurupuka tena na kutumia lugha ya matusi kwa kumwita kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un 'kijibwa kigonjwa' kufuatia jaribio la kombora la balestiki la masafa marefu zaidi lililofanywa na nchi hiyo ambalo lina uwezo wa kulenga sehemu yoyote ya ardhi ya Marekani.

  • Korea Kaskazini yavurumisha kombora la balestiki kuelekea Japan

    Korea Kaskazini yavurumisha kombora la balestiki kuelekea Japan

    Nov 29, 2017 04:45

    Korea Kaskazini imefyatua kombora jengine la balestiki lililopaa juu ya kisiwa cha Japan na linaloweza kulenga sehemu yoyote ya ardhi ya Marekani, huku ikisisitiza kuwa sasa ina uwezo kamili wa kinyuklia.

  • Cuba yalaani chuki za Marekani dhidi ya Korea Kaskazini

    Cuba yalaani chuki za Marekani dhidi ya Korea Kaskazini

    Nov 23, 2017 03:38

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba amelaani vitisho na misimamo ya chuki na ya kuzusha fujo vinavyofanywa na Marekani dhidi ya Korea Kaskazini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS