-
Korea Kaskazini: Marekani haina kitu kipya cha kuwasilisha kwenye mazungumzo
Dec 13, 2019 11:40Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kaskazini imesema kuwa, Marekani haina kitu kipya inachoweza kukiwasilisha kwenye mazungumzo na serikali ya Pyongyang.
-
Russia: Vikwazo haviwezi kuchukua nafasi ya udiplomasia
Dec 12, 2019 04:19Mwakilishi wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema haiwezekani kupatikana amani katika Rasi ya Korea kupitia njia ya vikwazo na mashinikizo na kwamba, vikwazo haviwezi kuchukua nafasi ya udiplomasia na njia ya utatuzi wa kisiasa.
-
Korea Kaskazini yafanyia majaribio kombora jipya la balestiki
Nov 28, 2019 23:06Jeshi la Korea Kusini limetangaza kwamba Korea Kaskazini imelifanyia majaribio kombora lake jipya la balestiki.
-
Kim Jong-un awatembelea askari eneo la mpakani awataka kujiweka tayari
Nov 26, 2019 01:14Kim Jong-un Kiongozi wa Korea Kaskazini ametembelea taasisi za kijeshi za nchi hiyo katika maeneo ya mpakani na kulitaka jeshi kujiweka tayari kukabiliana na vitisho vyovyote vya adui.
-
Korea Kaskazini: Marekani na Korea Kusini zikifanya maneva ya kijeshi tutajibu
Nov 14, 2019 03:55Serikali ya Korea Kaskazini imetoa onyo jipya kwa viongozi wa Marekani kwamba, iwapo nchi hiyo kwa kushirikiana na Korea Kusini zitafanya maneva ya kijeshi, basi Pyongyang itajibu hatua hizo za uhasama.
-
Korea Kaskazini: Mazungumzo yetu na Marekani yanakaribia kuvunjika kikamilifu
Nov 09, 2019 04:32Mkuu wa kitengo cha masuala ya Marekani katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kaskazini, ameelezea uwezekano wa kuvunjika kikamilifu mazungumzo kati ya Washington na Pyongyang, kutokana na ukwamishaji mambo wa Marekani.
-
Korea Kaskazini: Hatutosalimu amri mbele ya Marekani
Oct 16, 2019 08:21Kiongozi wa Korea Kaskazini amekemea uhasama wa vikwazo na mashinikizo ya Marekani dhidi ya nchi yake na kusisitiza kwamba, kamwe serikali ya Pyongyang haitosalimu amri mbele ya Washington.
-
Korea Kaskazini: Nchi za Magharibi zisijaribu kuwasilisha suala la makombora yetu UNSC
Oct 08, 2019 10:59Serikali ya Korea Kaskazini imeionya Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya juu ya hatua yao ya kuwasilisha suala la majaribio ya makombora yake mbele ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Korea Kaskazini yaionya Marekani: Kama mazungumzo hayatofanikiwa, yatatokea matukio ya kutisha
Oct 07, 2019 15:26Mwakilishi mwandamizi wa ujumbe wa Korea Kaskazini katika mazungumzo na Marekani, ambaye amerudi nchini humo hivi karibuni kutoka Sweden yalikofanyika mazungumzo yaliyofeli baina ya nchi yake na Marekani, ameionya Washington kuwa, endapo hautafikiwa mwafaka katika mazungumzo hayo yatatokea matukio ya kutisha.
-
Kuvunjika mzungumzo ya nyuklia kati ya Marekani na Korea Kaskazini
Oct 07, 2019 06:29Rais wa Marekani Donald Trump wa Marekani, anaendelea na siasa za vitisho na mazungumzo katika fremu ya ahadi zake za uchaguzi za kuutatua mgogoro wa nyuklia wa Rasi ya Korea.