-
Mahakama ya Korea Kusini yaongeza muda wa kushikiliwa korokoroni Park Geun-hye
Oct 14, 2017 01:56Mahakama ya Korea Kusini imeongeza muda wa kuendelea kusalia korokoroni Bi Park Geun-hye, rais wa nchi hiyo aliyeuzuliwa madarakani mwishoni mwa mwaka uliopita wa 2016.
-
Korea Kaskazini: Mkataba wa kijeshi wa Marekani na Korea Kusini, ni njama dhidi ya Pyongyang
Oct 03, 2017 01:32Serikali ya Korea Kaskazini imeutaja mkataba wa kijeshi kati ya Marekani na Korea Kusini kuwa ni njama ya kutaka kuishambulia nchi hiyo.
-
Korea Kaskazini: Yataka kutumiwa njia za amani badala ya za kijeshi kudumisha usalama katika eneo
Sep 30, 2017 01:22Serikali ya Korea Kaskazini imesema ili kuhitimisha mgogoro wa eneo la Peninsula ya Korea, kuna haja ya kuwekwa kando mipango ya kijeshi na kushikamana na mfumo wa amani.
-
Korea Kaskazini: Njia pekee ya kuzuia vita katika eneo ni Seoul kuzuia chokochoko za Marekani
Aug 13, 2017 23:11Serikali ya Korea Kaskazini imekosoa mazungumzo ya simu ya Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini na Rais Donald Trump wa Marekani yaliyofanyika hivi karibuni na kusema kuwa mazungumzo hayo hayawezi kusaidia kumaliza mgogoro uliopo.
-
Kuendelea maandamano ya raia wa Korea Kusini kupinga ngao ya Marekani ya THAAD
Aug 02, 2017 21:59Kwa mara nyingine raia wa Korea Kusini wamefanya maandamano kupinga mwendelezo wa uwekaji ngao ya makombora ya kisasa ya Marekani aina ya THAAD ndani ya nchi yao.
-
Korea Kaskazini: Wabunge wa Korea Kusini waliotunyooshea kidole, watajuta
Jul 22, 2017 22:19Serikali ya Korea Kaskazini imewatahadharisha wabunge wa Korea Kusini kutokana na hatua yao ya kutoa taarifa ya kulaani majaribio ya hivi karibuni ya kombora yaliyofanywa na Pyongyang, na kusema kuwa, wabunge hao watajutia hatua hiyo.
-
Korea Kusini sasa yaomba mazungumzo na Korea Kaskazini
Jul 08, 2017 02:55Huku mgogoro wa Peninsula ya Korea ukiendelea kutokota kufuatia vitisho vya Rais Donald Trump wa Marekani kwamba atatumia nguvu za kijeshi dhidi ya Korea Kaskazini, Korea Kusini sasa imetaka mazungumzo yafanyike kutatua mgogoro uliopo.
-
Pyongyang: Komandi ya kijeshi ya askari wa kimataifa mjini Seoul, ivunjwe
Jul 02, 2017 23:52Serikali ya Korea Kasakazini imetoa pendekezo la kuvunjwa kituo kikuu cha kijeshi kwa ajili ya askari wa mataifa tofauti iliyo chini ya Umoja wa Mataifa huko Seoul, mji mkuu wa Korea Kusini ivunjwe.
-
Pyongyang: Trump anatekeleza siasa zile zile za Adolf Hitler wa Ujerumani
Jun 27, 2017 10:38Serikali ya Korea Kaskazini imesema kuwa, Rais Donald Trump wa Marekani anatekeleza siasa zile zile za Adolf Hitler, kiongozi wa zamani wa Kinazi nchini Ujerumani.
-
Korea Kusini: Pyongyang iwaachilie huru watu wetu na Wamarekani inaowashikilia
Jun 26, 2017 03:30Waziri Mkuu wa Korea Kusini ameitaka serikali ya Korea Kaskazini kuwaalichilia huru raia wa nchi hiyo na wale wa Marekani ambao wanashikiliwa na serikali ya Pyongyang.