Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

kufa shahidi - kuuawa shahidi

  • Jumla ya Wapalestina 35 wameuliwa shahidi na Israel mwezi Januari pekee

    Jumla ya Wapalestina 35 wameuliwa shahidi na Israel mwezi Januari pekee

    Jan 30, 2023 22:53

    Wizara ya Afya ya Palestina imetangaza kuwa, mwezi Januari mwaka huu ndio mwezi uliojaa umwagaji damu mkubwa zaidi katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan baada ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuwaua shahidi Wapalestina 38.

  • Shtayyeh: Wapalestina 220 wameuawa shahidi mwaka huu wa 2022

    Shtayyeh: Wapalestina 220 wameuawa shahidi mwaka huu wa 2022

    Dec 28, 2022 04:33

    Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema: Tangu mwanzoni mwa mwaka huu utawala wa Kizayuni wa Israel umewaua shahidi Wapalestina zaidi ya 220 katika maeneo tofauti ya Palestina.

  • OIC yalaani jinai za utawala wa Kizayuni huko Jenin

    OIC yalaani jinai za utawala wa Kizayuni huko Jenin

    Dec 09, 2022 23:43

    Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani hujuma ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya mji na kambi ya wakimbizi ya Jenin, mauaji ya Wapalestina wanne na pia hujuma dhidi ya Msikiti wa Ibrahim na shule za Palestina.

  • Wapalestina 160 wameuawa shahidi tangu kuanza mwaka huu

    Wapalestina 160 wameuawa shahidi tangu kuanza mwaka huu

    Dec 05, 2022 22:47

    Kwa akali Wapalestina 160 wameuawa shahidi na jeshi la utawala haramu wa Israel katika ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan tangu kuanza mwaka huu wa 2022.

  • UN: 2022, mwaka wa mauaji zaidi katika ardhi za Palestina katika miaka 16 iliyopita

    UN: 2022, mwaka wa mauaji zaidi katika ardhi za Palestina katika miaka 16 iliyopita

    Oct 19, 2022 07:02

    Mratibu wa Misaada ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa katika Maeneo Yanayokaliwa kwa Mabavu ametangaza katika ripoti yake kwamba mwaka huu wa 2022 ulikuwa mwaka wa umwagaji damu zaidi katika ardhi za Palestina katika kipindi cha miaka 16 iliyopita.

  • Kamanda wa IRGC eneo la Sistan na Baluchestan auawa na magaidi

    Kamanda wa IRGC eneo la Sistan na Baluchestan auawa na magaidi

    Oct 01, 2022 01:53

    Kamanda wa kitengo cha usalama cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) katika mkoa wa kusini mashariki wa Sistan na Baluchestan ameuawa shahidi katika makabiliano na wapinga mapinduzi ambao walifyatua risasi karibu na msikiti katika mji mkuu wa mkoa huo, Zahedan.

  • Israel imewaua shahidi watoto Wapalestina zaidi ya 1,000 tangu 2008

    Israel imewaua shahidi watoto Wapalestina zaidi ya 1,000 tangu 2008

    Aug 12, 2022 03:10

    Tangu mwaka 2008, zaidi ya watoto elfu moja wa Kipalestina wameuawa shahidi katika Ukanda wa Gaza katika mashambulizi ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel

  • Israel imewaua shahidi Wapalestina 77 katika kipindi cha miezi sita

    Israel imewaua shahidi Wapalestina 77 katika kipindi cha miezi sita

    Jul 03, 2022 06:45

    Tokea mwanzo wa mwaka huu wa 2022, hadi sasa utawala wa Kizayuni wa Israel umewaua shahidi Wapalestina 77 wakiwemo watoto 15.

  • Kijana Mpalestina auawa shahidi kwa kupigwa risasi na askari katili wa Israel

    Kijana Mpalestina auawa shahidi kwa kupigwa risasi na askari katili wa Israel

    Jun 25, 2022 03:45

    Wanajeshi katili wa utawala haramu wa Israel wamemuua kijana wa Kipalestina wakati wakimkamata katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu.

  • Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran yalaani kuuawa shahidi Sayyad Khodaei

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran yalaani kuuawa shahidi Sayyad Khodaei

    May 23, 2022 03:12

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema maadui wa mfumo mtakatifu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine tena wamedhihirisha dhati ya shari yao kwa ugaidi na kumuua shahidi mmoja kati ya askari wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS