-
"Vikwazo vipya dhidi ya Iran ni muendelezo wa sera zilizofeli za Trump"
Nov 19, 2021 04:22Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu si kitu kingine ghairi ya muendelezo wa sera zilizogonga ukuta za Donald Trump.
-
Eritrea yalaani vikwazo 'haramu' vya Marekani dhidi yake
Nov 14, 2021 04:44Serikali ya Eritrea imekosoa vikali vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya nchi hiyo kwa tuhuma za kuhusika na ghasia na mapigano yanayoshuhudiwa katika nchi jirani ya Ethiopia.
-
Vikwazo vya Upande mmoja, kizuizi cha malengo ya ustawi endelevu
Nov 12, 2021 00:10Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, vikwazo vya upande mmoja vya Marekani vinazizuia nchi mbalimbali kupata vyanzo vya fedha na ustawi unaohitajika kwa ajili ya kutimiza malengo ya ustawi endelevu.
-
Waziri: Mafanikio ya mazungumzo ya Vienna yanategemea kuondolewa vikwazo vyote Iran
Nov 09, 2021 04:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kufanikiwa mazungumzo ya mjini Vienna, Austria kuhusu makubaliano ya JCPOA kutategemea na kuondolewa vikwazo vyote Iran, sambamba na kuifanya ya kawaida miamala ya kibiashara na Tehran.
-
Zarif asisitiza: "Vikwazo vya kulemaza" vya Marekani vimefeli na kugonga mwamba
Jul 14, 2021 08:02Waziri wa Mashauri wa Kigeni wa Iran amesema kuwa vikwao vya Marekani dhidi ya Iran vilivyotajwa kuwa ni vya kulemaza vimefeli na kushindwa.
-
Ansarullah: Marekani inafadhilisha vita Yemen, haitaki amani
Jun 11, 2021 03:25Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amelaani hatua ya Marekani ya kuliwekea vikwazo vipya taifa hilo la Kiarabu na kusisitiza kuwa, Washington inafadhilisha vita nchini Yemen, na wala haitaki amani kama inavyodai.
-
Rouhani: Taifa la Iran limeibuka na unshindi katika vita ya kiuchumi
May 23, 2021 06:24Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa taifa la Iran limeibuka na ushindi katika vita ya kiuchumi.
-
Iran: Mazungumzo ya Vienna yatasitishwa US ikiendelea kushupalia vikwazo
May 05, 2021 03:06Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mazungumzo ya Tehran na kundi la 4+1 yanayoendelea huko Vienna, Austria yatasimamishwa iwapo Marekani itaendelea kushupalia suala la kuwekewa vikwazo taifa hili.
-
Iran haitaruhusu mazungumzo ya Vienna kuhusu JCPOA yawe marefu kupita kiasi
Apr 21, 2021 03:02Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema Jamhuri ya Kiislamu haitamruhusu yeyote ayageuze mazungumzo ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yanayofanyika huko Vienna, mji mkuu wa Austria kuwa marefu kupita kiasi na yasiyo na kikomo.
-
Russia yaahidi kujibu mapigo baada ya kuwekewa vikwazo vipya vya Marekani
Apr 16, 2021 07:35Russia imeikosoa vikali serikali ya Marekani ikisema kuwa itajibu mapigo kwa vikwazo vipya vya nchi hiyo vilivyotangazwa na Rais Joe Biden dhidi ya Moscow.