Apr 27, 2019 13:09
Wajumbe wa Baraza la Wanazuoni, Kamati ya Fatwa na maimamu wa sala za Ijumaa za miji na vijiji vya Waislamu wa Kisuni vya mkoa wa Bushehr kusini mwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, wamelaani vikali hatua za utawala wa Aal Saud wa kuwanyonga raia 37 wa Saudia wengi wao wakiwa ni Waislamu wa Kishia.