-
Lavrov: Kadhia ya Epstein imedhihirisha sura halisi ya 'kuabudu shetani' ya watu mashuhuri wa Magharibi
Feb 09, 2026 23:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesema, mtindo mchafu wa maisha wa mfadhili na mhalifu wa vitendo vya ngono wa Marekani Jeffrey Epstein pamoja na tapo lake ni ushuhuda wa kuporomoka kimaadili shakhsia muhimu na maarufu wa Magharibi.
-
Lavrov: NATO na Umoja wa Ulaya zinapigana vita dhidi ya Russia Ukraine
Sep 26, 2025 22:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesema, mgogoro wa Ukraine ulipangwa na nchi za Magharibi kwa sura ya vita dhidi ya Russia vinavyopiganwa na Kiev.
-
Lavrov kuendesha mjadala wa Baraza la Usalama kuhusu Mashariki ya Kati
Jul 02, 2024 09:03Russia ambayo inashikilia uwenyekiti wa kiduri wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa mwezi huu wa Julai imetangaza kuwa Waziri wake wa Mambo ya Nje Sergei Lavrov ndiye atakayesimamia vikao kadhaa vya mikutano ya baraza hilo mwezi huu, ikiwa ni pamoja na mjadala kuhusu hali ya mambo ya Mashariki ya Kati.
-
Lavrov: Mustakbali wa kundi la Wagner unazihusu nchi zilizosaini makubaliano na kundi hilo
Jun 30, 2023 10:53Sergei Lavrov Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa mustakabali wa mikataba iliyotiwa saini kati ya nchi mbalimbali za Afrika na kundi la wanamgambo wa Wagner ni suala linalozihusu serikali zilizofikia makubaliano hayo.
-
Marekani haijampatia viza Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ya kuingia UN
Apr 12, 2023 09:10Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametangaza kuwa Marekani bado haijampatia Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergei Lavrov viza ya kuingia nchini humo kushiriki katika mkutano wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa mjini New York.
-
Lavrov: Mazungumzo ya amani kuhusu Ukraine lazima yazingatie 'maslahi na wasiwasi ilionao Russia'
Apr 08, 2023 22:46Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesema mazungumzo yoyote ya amani ya Ukraine lazima yalenge kuanzisha "nidhamu mpya wa dunia" na kuzingatia "maslahi ya Russia na wasiwasi ilionao".
-
Lavrov: Nchi za Magharibi zinataka makabiliano na Russia
Apr 04, 2023 03:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa uhusiano wa Umoja wa Ulaya mkabala wa Russia si wa kirafiki.
-
Lavrov: Tutaisadia Afrika Magharibi katika vita dhidi ya makundi yenye silaha
Feb 08, 2023 22:49Sergei Lavrov Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameahidi msaada wa nchi yake kwa nchi za Magharibi mwa Afrika katika kupambana na makundi yanayobeba silaha. Moscow imebainisha hayo katika juhudi za kupanua ushawishi wake barani Afrika wakati huu Russia ikiendelea kuvutana kidiplomasia na mataifa ya Magharibi.
-
Lavrov asisitiza kushirikiana na Iran, China, Uturuki na India
Nov 18, 2022 23:00Sergei Lavrov Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia jana Ijumaa alisisitiza kuwa kuna umuhimu Moscow kushirikiana na Tehran, Beijing, Ankara, New Delhi na nchi nyingine za pambizoni mwa bahari ya Kaspi.
-
Russia yaonya kuhusu uwezekano wa kutokea Vita vya Tatu vya Dunia
Apr 26, 2022 03:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameonya kuwa, hivi sasa kuna uwezekano walimwengu wakashuhudia kutoka Vita vya Tatu vya Dunia.