Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Lebanon

  • Hizbullah yaitungua na kuiteketeza ndege nyingine isiyo na rubani ya Israel katika anga ya Lebanon

    Hizbullah yaitungua na kuiteketeza ndege nyingine isiyo na rubani ya Israel katika anga ya Lebanon

    Sep 12, 2019 23:11

    Makombora ya ulinzi wa anga ya harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah yameitungua na kuiteketeza ndege isiyo na rubani ya ujasusi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Nasrallah: Hizbullah itajibu vikali uchokozi wowote wa utawala wa Israel

    Nasrallah: Hizbullah itajibu vikali uchokozi wowote wa utawala wa Israel

    Sep 03, 2019 00:05

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ameuonya utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na chokochoko zake dhidi ya Lebanon, na kusema: "Uchokozi wa Israel utapata jibu kali kutoka kwa harakati ya muqawama (Hizbullah)."

  • Waziri wa Ulinzi wa Lebanon: Tutajibu shambulizi lolote litakalofanywa na Israel

    Waziri wa Ulinzi wa Lebanon: Tutajibu shambulizi lolote litakalofanywa na Israel

    Sep 02, 2019 22:37

    Waziri wa Ulinzi wa Lebanon amesema kuwa, nchi hiyo itajibu shambulizi lolote litakalofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya ardhi ya Lebanon na kwamba nchi hiyo hii leo ni imara zaidi kuliko ilivyokuwa miaka ya nyuma.

  • Onyo kali la Sayyid Hassan Nasrallah kwa uvamizi wa hivi karibuni wa Israel dhidi ya mhimili wa muqawama

    Onyo kali la Sayyid Hassan Nasrallah kwa uvamizi wa hivi karibuni wa Israel dhidi ya mhimili wa muqawama

    Aug 26, 2019 22:10

    Sayyid Hassan Nasrallah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amehutubu Jumapili usiku mjini Beirut kwa munasaba wa kukombolewa eneo la Juroud Arsal kutoka mikononi mwa magaidi, na katika hotuba yake ametoa radiamali kali kuhusu mashambulizi ya hivi karibuni dhidi ya mhimili wa muqawama na kusema jeshi la Israel lisubiri jibu wakati wowote ule kuanzia Jumatatu usiku.

  • Msemaji wa serikali ya Iran: Utawala wa Kizayuni wa Israel ukubali taathira mbaya za uchokozi wake

    Msemaji wa serikali ya Iran: Utawala wa Kizayuni wa Israel ukubali taathira mbaya za uchokozi wake

    Aug 26, 2019 07:31

    Msemaji wa Serikali ya Iran amelaani mashambulizi yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika nchi za Lebanon, Iraq na Syria na kusema kuwa, utawala huo unapaswa ukubali taathira mbaya za uchokozi huo.

  • Mkuu wa Baraza Kuu la Mashia Lebanon: Israel inachezea moto

    Mkuu wa Baraza Kuu la Mashia Lebanon: Israel inachezea moto

    Aug 25, 2019 08:01

    Mkuu wa Baraza Kuu la Mashia nchini Lebanon amesema, kuendeleza utawala wa Kizayuni wa Israel uchokozi dhidi ya Lebanon na Syria ni kuchezea moto, ambao utapelekea kuteketezwa utawala huo.

  • Ndege za kivita za Israel zakiuka anga ya Lebanon

    Ndege za kivita za Israel zakiuka anga ya Lebanon

    Aug 20, 2019 08:50

    Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel zimeingia kinyume cha sheria katika anga ya Lebanon hatua ambayo inakiuka azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

  • Mafanikio na matokeo ya vita vya siku 33 kwa mtazamo wa Sayyid Hassan Nasrallah

    Mafanikio na matokeo ya vita vya siku 33 kwa mtazamo wa Sayyid Hassan Nasrallah

    Aug 18, 2019 03:53

    Sayyid Hassan Nasrallah Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Ijumaa alihutubu kwa mnasaba wa mwaka wa 13 wa ushindi katika vita vya siku 33 mwaka 2006.

  • Aoun: Kuiwekea vikwazo  Hizbullah ni kuivunjia heshima Lebanon

    Aoun: Kuiwekea vikwazo Hizbullah ni kuivunjia heshima Lebanon

    Jul 11, 2019 06:52

    Rais wa Lebanon amesema kuwa vikwazo vya Marekani dhidi ya wawakilishi wa harakati ya Hizbullah ya nchi hiyo ni sawa na kuivunjia heshima Lebanon.

  • Kufeli kikao cha Manama, sababu iliyomfanya Kushner ajaribu kuirubuni Lebanon ikubali

    Kufeli kikao cha Manama, sababu iliyomfanya Kushner ajaribu kuirubuni Lebanon ikubali "Muamala wa Karne"

    Jul 02, 2019 02:39

    Baada ya kushindwa njama zake za kuiangamiza kadhia ya Palestina kupitia kikao cha Manama, mji mkuu wa Bahrain; cha kufungua mpango wake wa "Mualama wa Karne," hivi sasa Jared Kushner, mshauri na mkwe wa rais wa Marekani, Donald Trump, ameelekeza nguvu zake upande wa Lebanon, kujaribu kuirubuni nchi hiyo ya Kiarabu ikubaliane na mpango wake huo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS