-
Wanazuoni wa Kiislamu wa Lebanon, Palestina wasusia 'Muamala wa Karne'
Jun 24, 2019 08:18Wanazuoni na wasomi wa Kiislamu wa Lebanon na Palestina wamelaani njama ya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina iliyopewa jina la 'Muamala wa Karne'.
-
Rais Michel Aoun: Njama zote za kutaka kuibua machafuko zitapata jibu kali
Jun 04, 2019 08:32Rais Michel Aoun wa Lebanon ametoa radiamali yake kufuatia shambulizi la kigaidi lililofanyika Tripoli nchini humo na kusema kuwa, hatua yoyote mbaya yenye lengo la kuibua ghasia ndani ya taifa hilo, itakabiliwa na jibu kali.
-
Rouhani: Mapambano ndiyo njia pekee ya kuwakabili wavamizi
May 27, 2019 02:54Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kuwanyooshea mkono wa pongezi wananchi wa Lebanon kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kukombolewa maeneo ya kusini mwa nchi hiyo ya Kiarabu kutoka kwenye makucha ya utawala wa Kizayuni wa Israel, amesisitiza kuwa muqawama ndiyo njia pekee ya kukabiliana na wavamizi.
-
Nasrallah: Wote wanawajibika kukabiliana na mpango wa 'Muamala wa Karne"
May 26, 2019 01:57Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema: "Wote wanawajibika kukabiliana na mpango wa Marekani wa "Muamala wa Karne" ambao lengo lake ni kusambaratisha kadhia ya Palestina.
-
Hizbullah: Israel itaangamia ikithubutu kuishambulia Lebanon
May 03, 2019 03:15Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon ameutahadharisha utawala wa Tel Aviv dhidi ya kuanzisha vita vipya dhidi ya Lebanon na kusisitiza kuwa, wanajeshi wa utawala haramu wa Israel watasambaratishwa na kuangamizwa iwapo vita hivyo vitaibuka.
-
Hizbullah: Lengo letu ni kuuangamiza utawala wa kizayuni wa Israel
Apr 20, 2019 03:37Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, njia ya harakati hiyo ni kufuata maktaba ya Uislamu na kuuangamiza utawala ghasibu wa Israel unaoikalia kwa mabavu Beituul-Muqaddas.
-
Hizbullah: Utawala haramu wa Israel ndio chimbuko kuu la ugaidi duniani
Apr 19, 2019 23:54Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah nchini lebanon, Sheikh Naim Qassem amesema kuwa, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ndio chanzo kikuu cha ugaidi na uharibifu katika eneo la Asia Magharibi na duniani kwa ujumla.
-
Umoja wa Mataifa: Hali ya kibinadamu nchini Yemen inasikitisha mno
Apr 16, 2019 10:13Umoja wa Mataifa umeelezea wasiwasi mkubwa ulionao kutokana na kutoridhisha kabisa hali ya kibinadamu nchini Yemen
-
Rais wa Lebanon: Tangazo la Trump kuhusu miinuko ya Golan na Quds ni kinyume na maazimo ya kimataifa
Apr 11, 2019 23:55Rais Michel Aoun wa Lebanon kwa mara nyingine tena amesisitiza kuwa, tangazo la Rais Donald Trump wa Marekani kuhusiana na umiliki wa utawala vamizi wa Israel kwa miinuko ya Golan ya Syria linakinzana na maazimio ya kimataifa.
-
Nasrullah: Hatua ya Trump ya kuitambua miinuko ya Golan kuwa mali ya Israel ni kuutusi Ulimwengu wa Kiislamu
Mar 27, 2019 03:36Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuitambua rasmi miinuko ya Golan kuwa ni mali na miliki ya utawala haramu wa Israel ni kuzitusi na kuzivunjia heshima nchi za Ulimwengu wa Kiislamu na Kiarabu.