-
Serikali ya Lebanon: Tunaihitajia sana Hizbullah kwa ajili ya ulinzi wa nchi
Mar 10, 2017 23:04Waziri Mshauri katika Masuala ya Ikulu ya Rais wa Lebanon, amesema kuwa nchi hiyo inaihitajia sana Harakati ya Hizbullah kwa ajili ya kukabiliana na kuzuia hujuma za utawala haramu wa Israel na makundi ya kigaidi dhidi ya ardhi ya nchi hiyo.
-
Mfalme wa Saudia asitisha safari yake Lebanon kwa kuumizwa na mahusiano ya Rais Aoun na Hizbullah
Mar 07, 2017 01:12Mfalme Salman bin Abdulaziz Al Saud wa nchini Saudia, amesitisha safari yake nchini Lebanon kutokana na misimamo chanya ya Rais Michel Aoun wa nchi hiyo katika kuunga mkono Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah.
-
Nabih Berri: Nchi za Kiislamu zifunge balozi zao zilizoko Marekani
Feb 21, 2017 10:28Spika wa Bunge la Lebanon ameziasa nchi za Kiislamu zifunge balozi zao zilizoko Marekani kulalamikia mpango wa Washington wa kutaka kuhamishia ubaloizi wake ulioko Israel huko Quds Tukufu.
-
Balozi wa Russia Lebanon: Hizbullah imetoa mchango muhimu katika vita dhidi ya ugaidi
Feb 21, 2017 00:35Balozi wa Russia nchini Lebanon Alexander Zasypkin ametangaza kuwa tangu Hizbullah ilipoasisiwa hadi hivi sasa imekuwa ni harakati ya muqawama na imetoa mchango muhimu katika mapambano dhidi ya ugaidi nchini Syria na katika kuleta uthabiti nchini Lebanon.
-
Lebanon: Hatua yoyote ya kichokozi ya Israel itapata jibu kali
Feb 19, 2017 03:05Rais Michel Aoun wa Lebanon ameonya kuwa, iwapo utawala haramu wa Israel utachukua hatua yoyote ya kukanyaga uhuru wa kujitawala nchi hiyo ya Kiarabu, basi ujiandae kwa jibu kali.
-
Sayyid Hassan Nasrullah: Hizbullah kamwe haiiogopi Israel wala Marekani
Feb 17, 2017 00:51Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, muqawama hauuogopi utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wala shetani mkuu Marekani.
-
Lebanon yataka kutatuliwa mgogoro wa Syria kwa njia za amani
Jan 27, 2017 03:50Rais wa Lebanon amesisitiza kuwa mgogoro wa Syria unapasa kupatiwa ufumbuzi kwa njia za amani na kisiasa.
-
Jeshi la Lebanon: Ayatullah Rafsanjani alikuwa akihami Lebanon na Palestina
Jan 12, 2017 12:15Kamanda Mkuu wa Jeshi la Lebanon amesema kuwa, marehemu Ayatullah Hashemi Rafsanjani, Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Iran, alikuwa daima akichukua misimamo ya heshima katika kuihami Lebanon na Palestina katika kukabiliana na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Rais wa Lebanon apongeza nafasi ya Iran katika eneo
Dec 24, 2016 04:19Rais Michel Aoun wa Lebanon amepongeza na kusifu nafasi ya Iran katika eneo la Mashariki ya Kati na kubainisha kuwa, Jamhuri ya Kiislamu imechangia pakubwa kupatiwa ufumbuzi migogoro mbalimbali katika eneo.
-
Lebanon yatangaza baraza jipya la mawaziri linaoongozwa na Hariri
Dec 19, 2016 03:55Lebanon imetangaza baraza jipya la mawaziri linaloongozwa na Waziri Mkuu, Saad al-Hariri, wiki 6 baada ya kuchaguliwa Rais Michel Aoun.