-
Hujuma ya Daesh nchini Libya yaua watu watano
May 06, 2016 09:33Watu watano wameuawa katika shambulizi la bomu la kutegwa garini la kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katika mji wa Misrata, magharibi mwa Libya.
-
IOM: Zaidi ya 80 hawajapatikana baada ya boti ya wakimbizi kuzama pwani ya Libya
May 01, 2016 09:48Shirika la Kimataifa la Wahajiri IOM limesema hatima ya wahajiri zaidi ya 80 haijajulikana hadi sasa baada ya boti iliyokuwa imewabeba kuzama katika pwani ya Libya kwenye bahari ya Mediterranean Ijumaa iliyopita.
-
Libya kuongeza kiwango cha uzalishaji mafuta
Apr 29, 2016 23:41Viongozi wa Libya wamekubaliana na mpango wa awamu tatu wa shirika la taifa la mafuta la nchi hiyo wa kuongeza uzalishaji wa bidhaa hiyo muhimu na kuufikisha katika kiwango cha kabla ya mwaka 2011.
-
Zaidi ya watu 20 wauawa na kujeruhiwa katika mripuko wa bomu nchini Libya
Apr 22, 2016 03:17Zaidi ya watu 20 wameripotiwa kuuawa na kujeruhiwa katika mripuko wa bomu uliotokea katika mji wa Darnah, nchini Libya.
-
UN yathibitisha, mamia ya wahajiri wameghariki pwani ya Libya
Apr 21, 2016 02:44Umoja wa Mataifa umethibitisha kuwa, mamia ya wahamiaji haramu wamezama katika maji ya ya Libya baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama baharini.
-
Hali tete ya Libya
Apr 18, 2016 03:39Hali ya mambo nchini Libya inatajwa kuwa ni tete licha ya kuanza kazi serikali ya umoja wa kitaifa iliyoungwa mkono na kukaribishwa na jamii ya kimataifa.
-
Ziara ya mabalozi wa Ulaya nchini Libya
Apr 15, 2016 09:34Mabalozi wa nchi za Ufaransa, Uhispania na Uingereza wameelekea nchini Libya kama njia ya kutangaza uungaji mkono wao kwa serikali ya umoja wa kitaifa ya nchi hiyo.
-
Libya yamkosoa Mjumbe wa Umoja wa Mataifa
Apr 14, 2016 10:05Spika wa bunge la Libya amemkosoa Mjumbe wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya nchi hiyo kutokana na kuanza kazi serikali ya umoja wa kitaifa ya nchi hiyo bila ya bunge kuipigia kura ya kuwa na imani nayo.
-
Uvamizi wa Marekani Libya ni hatua iliyoyumbisha nchi hiyo ya Kiafrika
Apr 11, 2016 23:27Serikali ya Russia imesema kuwa uvamizi wa kijeshi wa Marekani huko Libya ni hatua iliyovuruga uthabiti wa nchi hiyo.
-
Obama: Kosa baya zaidi nililowahi kufanya ni kuhusu Libya
Apr 11, 2016 08:09Rais Barack Obama wa Marekani amesema: "Kosa baya zaidi katika urais wangu ni kukosa mpango wowote kwa ajili ya zama za baada ya kumuangusha Muammar Gaddafi nchini Libya."