-
UN: serikali ya umoja wa kitaifa Libya inapasa kuchukua uongozi wa nchi haraka iwezekanavyo
Apr 06, 2016 23:10Mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Libya ametaka kukabidhiwa haraka na kikamilifu uongozi wa nchi kwa serikali ya umoja wa kitaifa.
-
Serikali isiyotambuliwa kimataifa Libya yakabidhi madaraka
Apr 06, 2016 03:37Serikali isiyotambuliwa kimataifa ya Tripoli nchini Libya imetangaza kuwa imekabidhi madaraka kwa serikali ya umoja wa kitaifa inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa.
-
Serikali ya umoja wa kitaifa Libya yachagua kiongozi
Apr 05, 2016 22:28Baraza Kuu la Uongozi la serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya limemchagua Abdulrahman Al-Shater kuwa mkuu wa baraza hilo.
-
Tishio la magaidi dhidi ya serikali ya Umoja wa kitaifa nchini Libya
Apr 04, 2016 07:16Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh la mjini Sirte, kaskazini mwa Libya, limetishia kuishambulia serikali ya umoja wa kitaifa nchini humo. Abu Abdullah al-Misri, kiongozi wa genge hilo la kigaidi mwenye makao yake mjini Sirte, ametishia kufanya shambulio dhidi ya serikali hiyo mpya.
-
Magaidi waitishia serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya
Apr 04, 2016 02:51Kiongozi wa kundi la kigaidi la Daesh katika mji wa Sirte huko kaskazini mwa Libya ametishia kuishambulia serikali ya umoja wa kitaifa ya nchi hiyo.
-
EU yawawekea vikwazo viongozi wanaopinga Serikali ya Umoja wa Kitaifa Libya
Apr 02, 2016 01:46Umoja wa Ulaya EU umeanza kutekeleza mpango wa kuwawekea vikwazo viongozi wa kisiasa wanaopinga Serikali ya Umoja wa Kitaifa nchini Libya.
-
Ban apongeza kuingia Tripoli Baraza la Urais la Libya
Apr 01, 2016 02:44Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amekaribisha kuwasili kwa Baraza la Urais la Libya mjini Tripoli mnamo Machi 30, 2016, akitaja kuwasili huko kama hatua muhimu katika kutekeleza makubaliano ya kisiasa ya Libya.
-
Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya yatoa onyo kwa wapinzani
Mar 31, 2016 23:55Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa imeonya kuwa itakabidhi majina ya wapinzani wa serikali hiyo kwa Polisi ya Kimataifa Interpol na kuwahusisha na "ugaidi" endapo hawatotoa ushirikiano kwa serikali hiyo.
-
Wajumbe wa serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya wawasili Tripoli
Mar 30, 2016 11:11Wajumbe wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa leo wamewasili katika mji mkuu wa nchi hiyo Tripoli na kupuuza maonyo yaliyotolewa na mirengo hasimu iliyowataka kutoukaribia mji huo.
-
Kuendelea mvutano wa kisiasa nchini Libya
Mar 26, 2016 03:49Licha ya kuripotiwa habari za kuhamishiwa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya katika mji mkuu wa Libya Tripoli katika kipindi cha chini ya wiki moja, Waziri Mkuu wa serikali iliyojitangazia yenyewe mamlaka huko Tripoli, ametangaza hali ya hatari ya usalama katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.