-
Nchi jirani na Libya zapinga mashambulizi ya kigeni nchini humo
Mar 22, 2016 22:53Mawaziri wa nje wa nchi jirani na Libya wamepinga aina yoyote ya mashambulizi ya nchi za kigeni nchini humo na kuunga mkono serikali mpya ya nchi hiyo.
-
Kikao cha nchi jirani na Libya huko Tunisia
Mar 21, 2016 11:44Kikao cha nchi jirani na Libya kimefanyika huko Tunisia. Kanali ya televisheni ya al Aalam imeripoti kuwa kikao cha nchi jirani na Libya kimefanyika leo katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Tunisia.
-
Mji wa Tripoli wageuka uwanja wa mapigano ya makundi hasimu
Mar 19, 2016 23:45Mji mkuu wa Libya, Tripoli jana uligeuka na kuwa uwanja wa mashambulizi makali ya silaha na hivyo kuwaweka katika wakati mgumu wakazi wake.
-
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lakaribisha mazungumzo ya Libya
Mar 16, 2016 03:45Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limekaribisha kufanyika mazungumzo ya kisiasa kati ya mirengo ya upinzani huko Libya.
-
Russia: Uingiliaji kijeshi Libya unahitaji idhini ya Umoja wa Mataifa
Mar 14, 2016 12:50Sergei Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema leo Jumatatu kuwa uingiliaji kijeshi huko Libya unawezekana iwapo tu Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa litaidhinisha suala hilo.
-
Serikali ya umoja wa kitaifa yaanza kazi Libya
Mar 13, 2016 09:57Serikali ya umoja wa kitaifa imeanza kazi nchini Libya baada ya kupasishwa na idadi kubwa ya wabunge wa nchi hiyo.
-
Libya yakanusha tuhuma za Rais wa Tunisia
Mar 09, 2016 10:54Msemaji wa serikali ya Libya amekanusha madai ya Rais wa Tunisia kuwa nchi hiyo inazalisha magaidi wanaofanya mashambulizi nchi nyingine.
-
Tunisia yaangamizi Madaesh wengine 5 karibu na mpaka na Libya
Mar 09, 2016 04:26Jeshi la Tunisia limesema kuwa limefanikiwa kuangamiza wanamgambo wengine watano wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh karibu na mpaka wa nchi hiyo na Libya.
-
Magaidi wa ISISI wanaenea kwa kasi ya kuogofya Libya
Mar 05, 2016 23:09Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameonya kuwa magaidi wakufurishaji wa Daesh wanaenea kwa kasi ya kuogofya nchini Libya.
-
Waarabu wapinga nchi za Magharibi kuingilia kati Libya
Mar 05, 2016 13:44Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni yanaonyesha kuwa raia wa nchi za Kiarabu wanapinga uingiliaji kijeshi wa nchi za Magharibi huko Libya.