Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Umoja wa Mataifa waunga mkono kufanyika uchaguzi wa Libya katika wakati mwafaka

    Umoja wa Mataifa waunga mkono kufanyika uchaguzi wa Libya katika wakati mwafaka

    Dec 24, 2021 08:08

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amehimiza kufanyika uchaguzi mkuu wa Bunge na Rais katika tarehe mwafaka nchini Libya.

  • Umoja wa Mataifa: Hakuna ramani mpya ya njia kwa ajili ya Libya

    Umoja wa Mataifa: Hakuna ramani mpya ya njia kwa ajili ya Libya

    Dec 20, 2021 23:08

    Msemaji wa Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Libya (UNMSIL) amesema hakuna ramani mpya ya njia kwa ajili ya Libya.

  • Kuendelea mivutano ya uchaguzi huko Libya

    Kuendelea mivutano ya uchaguzi huko Libya

    Dec 13, 2021 01:00

    Katika kipindi hiki cha kukaribia wakati wa kufanyika uchaguzi huko Libya, mivutano ya kisiasa imepamba moto nchini humo kwa kadiri kwamba, Tume Kuu ya Uchaguzi ya nchi hiyo imetangaza habari kuakhirishwa zoezi la kuchapisha orodha ya mwisho ya wagombea wa kiti cha urais.

  • Zaidi ya Walibya elfu tano wajitokeza kugombea viti vya Bunge nchini Libya

    Zaidi ya Walibya elfu tano wajitokeza kugombea viti vya Bunge nchini Libya

    Dec 10, 2021 09:37

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Libya imetangaza kuwa, faili la kuandikisha majina ya wagombea wa viti vya Bunge limefungwa na kwamba zaidi ya Walibya elfu tano wamejiandikisha kwa ajili ya kugombea viti hivyo.

  • Rais wa Niger akosoa udhaifu wa nchi jirani katika kupambana na ugaidi

    Rais wa Niger akosoa udhaifu wa nchi jirani katika kupambana na ugaidi

    Dec 09, 2021 01:09

    Rais wa Niger amezikosoa nchi jirani katika mapambano ya kukabiliana na ugaidi na magendo ya silaha kutoka Libya katika eneo la Sahel Afrika.

  • Saiful Islam Gaddafi kukatiza ndoto ya Khalifa Haftar ya kutawala Libya?

    Saiful Islam Gaddafi kukatiza ndoto ya Khalifa Haftar ya kutawala Libya?

    Dec 03, 2021 23:07

    Kurejea kwa Saif al-Islam Gaddafi katika kinyang'anyiro cha urais, kutokana na uamuzi wa Mahakama ya Sabha (kusini mwa Libya), kumechanganya tena karata nchini Libya, hasa kutokana na kukithiri kwa mizozo na mivutano kati yake na Jenerali mstaafu, Khalifa Haftar katika maeneo ya kusini mwa nchi hiyo.

  • Mwana wa kiume wa Muammar Gaddafi akataliwa kugombea urais

    Mwana wa kiume wa Muammar Gaddafi akataliwa kugombea urais

    Nov 25, 2021 04:33

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Libya imewakatalia shakhsia 25 akiwemo Saiful Islam Gaddafi mwana wa kiume wa kiongozi wa zamani wa Libya Kanali Muammar Gaddafi kugombea uchaguzi ujao wa rais nchini humo.

  • Waziri Mkuu wa mpito Libya naye pia ajitosa kwenye kinyang'anyiro cha urais

    Waziri Mkuu wa mpito Libya naye pia ajitosa kwenye kinyang'anyiro cha urais

    Nov 22, 2021 23:12

    Siku moja kabla ya kufungwa kwa shughuli ya kuwasilisha fomu ya kuwania uchaguzi wa urais wnchini Libya, Waziri Mkuu wa mpito, Abdel Hamid Dbeibah, naye pia jana alijitangaza kuwa atawania katika uchaguzi huo.

  • Maafa ya wahajiri kuelekea Ulaya; watu zaidi ya  75 wazama katika pwani ya Libya

    Maafa ya wahajiri kuelekea Ulaya; watu zaidi ya 75 wazama katika pwani ya Libya

    Nov 21, 2021 04:48

    Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limeripoti kuwa, wahamiaji haramu zaidi ya 75 wamefariki dunia baada ya boti yao kuzama katika pwani ya magharibi mwa Libya. Wahajiri hao haramu wamekumbwa na mauti Jumatano iliyopita katika jitihada za kuelekea barani Ulaya.

  • Jenerali Haftar, ajenti wa zamani wa CIA atangaza kugombea urais wa Libya

    Jenerali Haftar, ajenti wa zamani wa CIA atangaza kugombea urais wa Libya

    Nov 16, 2021 23:31

    Khalifa Haftar, kamanda wa kundi linalojiita Jeshi la Taifa la Libya (LNA) ametangaza kuwa atagombea urais wa nchi hiyo katika uchaguzi uliopangwa kufanyika mwezi ujao wa Desemba.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS