Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Maafa ya wahajiri kuelekea Ulaya; watu zaidi ya  75 wazama katika pwani ya Libya

    Maafa ya wahajiri kuelekea Ulaya; watu zaidi ya 75 wazama katika pwani ya Libya

    Nov 21, 2021 04:48

    Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limeripoti kuwa, wahamiaji haramu zaidi ya 75 wamefariki dunia baada ya boti yao kuzama katika pwani ya magharibi mwa Libya. Wahajiri hao haramu wamekumbwa na mauti Jumatano iliyopita katika jitihada za kuelekea barani Ulaya.

  • Jenerali Haftar, ajenti wa zamani wa CIA atangaza kugombea urais wa Libya

    Jenerali Haftar, ajenti wa zamani wa CIA atangaza kugombea urais wa Libya

    Nov 16, 2021 23:31

    Khalifa Haftar, kamanda wa kundi linalojiita Jeshi la Taifa la Libya (LNA) ametangaza kuwa atagombea urais wa nchi hiyo katika uchaguzi uliopangwa kufanyika mwezi ujao wa Desemba.

  • Walibya waandamana wakipinga kukubaliwa Saiful Islam Gaddafi kugombea urais

    Walibya waandamana wakipinga kukubaliwa Saiful Islam Gaddafi kugombea urais

    Nov 15, 2021 23:04

    Raia wa maeneo ya magharibi mwa Libya wamefunga vituo vya kupigia kura wakipinga hatua ya mwana wa kiume wa kiongozi wa zamani wa Libya, Saiful Islam Gaddafi ya kuwania kiti cha urais katika uchaguzi ujao nchini humo.

  • Mkutano wa Paris wataka askari wa kigeni walioivamia Libya waondoke nchini humo

    Mkutano wa Paris wataka askari wa kigeni walioivamia Libya waondoke nchini humo

    Nov 13, 2021 08:06

    Washiriki wa mkutano wa Paris, mji mkuu wa Ufaransa wametaka kufanyike uchaguzi katika tarehe iliyopangwa nchini Libya, kama ambavyo wamehimiza pia wajibu wa kutoka wanajeshi wa kigeni nchini humo.

  • Haftar aafiki kutimuliwa mamluki 300 wa kigeni nchini Libya

    Haftar aafiki kutimuliwa mamluki 300 wa kigeni nchini Libya

    Nov 12, 2021 04:22

    Wawakilishi wa Jenerali mstaafu Khalifa Haftar katika kamati ya kijeshi inayojulikana kwa jina la kundi la 5+5 huko Libya wamesema kuwa wameafiki kuondolewa wapiganaji mamluki 300 wa kigeni katika maeneo yanayodhibitiwa la kundi la linalojiiita Jeshi la Taifa la Libya.

  • Kuanza zoezi la uandikishaji wa wagombea Urais na Ubunge katika uchaguzi wa Libya

    Kuanza zoezi la uandikishaji wa wagombea Urais na Ubunge katika uchaguzi wa Libya

    Nov 09, 2021 04:17

    Hatimaye baada ya miezi kadhaa ya mazungumzo na vuta nikuvute baina ya makundi na mirengo tofauti ya kisiasa nchini Libya, uandikishaji majina ya wagombea wa kiti cha urais na Bunge ulianza Jumatatu ya jana tarehe 8 Novemba.

  • Libya yapinga kusimamishwa kazi Waziri wa Mambo ya Nje kabla ya uchaguzi

    Libya yapinga kusimamishwa kazi Waziri wa Mambo ya Nje kabla ya uchaguzi

    Nov 07, 2021 23:14

    Serikali ya Libya imepinga uamuzi wa Baraza la Rais la nchi hiyo wa kumsimamisha kazi Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika, wiki chache kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu.

  • UN: Watoto, wanawake 1,000 wanaozuiliwa Libya wapo hatarini

    UN: Watoto, wanawake 1,000 wanaozuiliwa Libya wapo hatarini

    Oct 13, 2021 09:28

    Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) umetadharisha kuhusu hali mbaya inayowakabili watoto wadogo na wanawake wapatao elfu moja ambao ni miongoni mwa maelfu ya wahajiri wanaozuiliwa katika kambi za wakimbizi za kuogofya huko Tripoli, mji mkuu wa Libya.

  • Ufaransa yakiri makosa yake ya kushiriki katika mashambulio ya Libya

    Ufaransa yakiri makosa yake ya kushiriki katika mashambulio ya Libya

    Oct 10, 2021 22:58

    Akizungumza karibuni katika mji wa Montpellier na viongozi wa nchi za Kiafrika za eneo la Sahel, Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amekiri kwamba nchi yake ilifanya makosa kwa kushiriki katika mashambulio ya kijeshi yaliyofanyika dhidi ya Libya nwaka 2011.

  • Maiti 17 za wahajiri zapatikana ufukweni magharibi mwa Libya

    Maiti 17 za wahajiri zapatikana ufukweni magharibi mwa Libya

    Oct 06, 2021 09:31

    Shirika la Hilali Nyekundu la Libya limesema maiti 17 za wahajiri wanaoaminika kufa maji baada ya boti waliokuwa wakisafiria kuzama zimepatikana katika pwani ya magharibi ya nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS