-
Kuapishwa Serikali ya Muda ya Libya, na changamoto zilizoko mbele yake
Mar 16, 2021 09:27Hatimaye baada ya miezi kadhaa ya mivutano na kuainisha hatima ya siasa za Libya, Mawaziri wa Serikali ya Muda ya Umoja wa Kitaifa waliapishwa jana Jumatatu katika Bunge la nchi hiyo huko katika mji wa Tobruk.
-
Serikali ya muda ya Umoja wa Kitaifa Libya yaapishwa
Mar 15, 2021 23:27Serikali ya muda ya Umoja wa kitaifa ya Libya iliapishwa jana Jumatatu na kuanza rasmi shughuli zake.
-
Serikali mpya ya Libya yaendelea na juhudi za kuikwamua nchi hiyo na migogoro
Mar 13, 2021 23:07Mkuu mpya wa Baraza la Uongozi la Libya amesema kuwa, baraza hilo linafanya juhudi zake zote kwa ajili ya kuikwamua nchi hiyo na migogoro na kuiletea amani ya kudumu, demokrasia, kuheshimishwa haki za binadamu na uhuru wa wananchi wake.
-
UN yataka makubaliano ya usitishaji vita Libya yatekelezwe kikamilifu
Mar 13, 2021 04:05Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetaka pande zinazopigana nchini Libya kutekeleza kikamilifu makubaliano ya usitishaji vita.
-
Italia: Tunaunga mkono juhudi za kuleta amani na utulivu nchini Libya
Mar 12, 2021 08:32Serikali ya Italia imesema kuwa inaunga mkono kikamilifu juhudi za kurejesha amani na utulivu katika nchi ya kaskazini mwa Afrika ya Libya.
-
Wabunge Libya wakutana kujadili baraza la mawaziri
Mar 08, 2021 07:56Wabunge wa pande hasimu nchini Libya wanakutana katika mji wa kistratijia wa Sirte kwa ajili ya kujadiliana kuhusu serikali ya Umoja iliyopendekezwa na Waziri Mkuu Abdul Hamid Dbeibah.
-
Majina ya mawaziri wa serikali ya mpito ya Libya yawasilishwa bungeni kupigiwa kura ya imani
Feb 27, 2021 03:32Waziri Mkuu wa serikali ya mpito ya Libya amewasilisha bungeni majina ya mawaziri aliowapendekeza kwa ajili ya kuunda serikali kwa madhumuni ya kuhitimisha hali ya mchafukoge nchini humo.
-
Abdulhamid al-Dabaiba: Libya kudumisha uhusiano imara na Uturuki
Feb 26, 2021 09:26Waziri Mkuu wa serikali ya mpito ya Libya amesema kuwa serikali mpya ya mpito ya nchi hiyo itatoa umuhimu makhsusi kwa uhusiano kati ya nchi hiyo na Uturuki.
-
Waziri Mkuu wa Libya atakiwa kuunda haraka serikali ya mpito
Feb 25, 2021 00:21Baraza Kuu la Serikali ya Libya limemtaka Abdulhamid al-Dabaiba Waziri Mkuu wa nchi hiyo kuunda serikali yake haraka iwezekanavyo.
-
Serikali ya mpito ya Libya yafanya kikao chake cha kwanza tangu kuchaguliwa
Feb 21, 2021 23:26Ofisi ya habari ya waziri mkuu wa serikali ya mpito ya Libya imetangaza kuwa kikao cha kwanza cha serikali hiyo kimefanyika baada ya wajumbe wake kuchaguliwa kupitia baraza la mazungumzo lililofanyika mjini Geneva, Uswisi.