Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Msimamo wa Macron dhidi ya uingiliaji wa Uturuki Libya

    Msimamo wa Macron dhidi ya uingiliaji wa Uturuki Libya

    Jun 23, 2020 03:04

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema kuwa uingiliaji kijeshi wa Ufaransa nchini Libya ni mchezo hatari.

  • Umoja wa Ulaya: Mgogoro wa Libya hauna utatuzi wa kijeshi

    Umoja wa Ulaya: Mgogoro wa Libya hauna utatuzi wa kijeshi

    Jun 23, 2020 02:37

    Msemaji wa mkuu wa siasa za nje wa Umoja wa Ulaya amesisitiza kwamba mgogoro wa Libya hauwezi kutatuliwa kwa njia ya kijeshi.

  • Wizara ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya yajibu matamshi ya al Sisi

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya yajibu matamshi ya al Sisi

    Jun 22, 2020 22:03

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya amejibu matamshi ya karibuni ya Rais wa Misri kuhusu uingiliaji wa moja kwa moja wa nchi hiyo katika masuala ya ndani ya Libya akisema kuwa yanakinzana na azimio la Umoja wa Mataifa.

  • Sharti la Uturuki kukubali usitishaji vita nchini Libya

    Sharti la Uturuki kukubali usitishaji vita nchini Libya

    Jun 22, 2020 04:52

    Ibrahim Kalin, Msemaji wa Ikulu ya Rais wa Uturuki amesema kuwa usitishaji vita utatekelezwa nchini Libya kwa sharti kuwa wapiganaji wanaojiita Jeshi la Taifa la Libya wanaoongozwa na jenerali muasi Khalifa Hafta waondoke katika mji wa Sirte.

  • Raia 18 wa Misri watiwa mbaroni nchini Libya

    Raia 18 wa Misri watiwa mbaroni nchini Libya

    Jun 22, 2020 03:12

    Timu ya opereseheni za "Volkano ya Hasira" ya Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya imetangaza habari ya kutiwa mbaroni raia 18 wa Misri ambao ni wananchi wa kundi moja linaloendesha shughuli zake kinyume cha sheria nchini Libya.

  • Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Libya yamjibu Rais al Sisi wa Misri, yamtaka afunge mipaka ya nchi yake

    Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Libya yamjibu Rais al Sisi wa Misri, yamtaka afunge mipaka ya nchi yake

    Jun 21, 2020 06:08

    Msemaji wa jeshi la Serikali ya Mwafaka wa Kitaita ya Libya (GNA) amejibu matamshi ya vitisho yaliyotolewa na Rais Abdel Fattah al Sisi dhidi ya Libya.

  • Rais wa Misri aliamuru jeshi kuandaa oparesheni nje ya nchi

    Rais wa Misri aliamuru jeshi kuandaa oparesheni nje ya nchi

    Jun 21, 2020 03:45

    Rais Abdel Fattah el-Sisi ameliamuru jeshi la Misri kujitayarisha kutekeleza oparesheni ndani na nje ya nchi kwa lengo la kulinda usalama wa taifa huku hali ya taharuki ikiongezeka baina ya nchi hiyo na Uturuki kuhusu kadhia ya Libya.

  • Waziri Mkuu wa Libya aonana na Rais Abdelmadjid Tebboune wa Algeria

    Waziri Mkuu wa Libya aonana na Rais Abdelmadjid Tebboune wa Algeria

    Jun 20, 2020 23:14

    Waziri Mkuu wa Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya Fayez al Sarraj ameonana na Rais Abdelmadjid Tebboune wa Algeria na pande mbili zimejadiliana njia za upatanishi na jinsi ya kutatua mgogoro wa Libya.

  • Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Libya yapinga kikao cha Arab League

    Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Libya yapinga kikao cha Arab League

    Jun 20, 2020 07:25

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya amesema kuwa, Tripoli inapinga kufanyika kikao cha Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) kuhusu masuala ya nchi hiyo.

  • HRW yataka uchunguzi kuhusu jinai za Jenerali Haftar nchini Libya

    HRW yataka uchunguzi kuhusu jinai za Jenerali Haftar nchini Libya

    Jun 16, 2020 22:22

    Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limetaka kufanyike uchunguzi wa kina kuhusu jinai za kivita zilizofanywa na wanamgambo wa jenerali muasi Khalifa Haftar nchini Libya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS