Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Tunisia yakosoa uingiliaji kati wa nchi ajinabi huko Libya

    Tunisia yakosoa uingiliaji kati wa nchi ajinabi huko Libya

    Aug 08, 2018 02:14

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Tunisia ameeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya machafuko inayoendelea kushuhudiwa nchini Libya na kusema kuwa nchi hiyo imekuwa medani ya vita vya niaba vya pande za kigeni.

  • Wananchi wa Libya waandamana kulalamikia maisha magumu

    Wananchi wa Libya waandamana kulalamikia maisha magumu

    Aug 05, 2018 10:48

    Miji mingi ya Libya imekumbwa na maandamano ya wananchi wanaolalamikia maisha magumu.

  • Serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya yamfuta kazi waziri wake wa Ulinzi

    Serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya yamfuta kazi waziri wake wa Ulinzi

    Jul 30, 2018 09:49

    Rais wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya amemfuta kazi Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo kwa kile kilichotajwa kuwa kuhusika katika shambulio dhidi ya kituo cha anga magharibi mwa nchi hiyo.

  • Benki ya dunia yatahadharisha kuhusu taathira za magendo ya mafuta huko Libya

    Benki ya dunia yatahadharisha kuhusu taathira za magendo ya mafuta huko Libya

    Jul 28, 2018 03:42

    Benki ya Dunia imetangaza kuwa uchumi wa Libya umepata hasara kubwa kutokana na kuibiwa mafuta ya nchi hiyo kuelekea nchi jirani hususan huko Tunisia.

  • Vita vya kuwania ngawira Libya vyapamba moto baina ya Ufaransa na Italia

    Vita vya kuwania ngawira Libya vyapamba moto baina ya Ufaransa na Italia

    Jul 21, 2018 22:58

    Mtandao wa habari wa Algeria umefichua kuwa Ufaransa na Italia zinachuana vikali kuwania ngawira zaidi huko Libya na kwamba wakati mwingine mchuano huo unafikia kiwango cha mapigano na vita vya kisiasa.

  • Wahajiri 8 wakiwemo watoto 6 waaga dunia kwenye kontena Libya

    Wahajiri 8 wakiwemo watoto 6 waaga dunia kwenye kontena Libya

    Jul 17, 2018 02:36

    Wahajiri wanane wakiwemo watoto sita wamepoteza maisha baada ya kuishiwa na hewa wakiwa ndani ya kasha la kusafirishia mizigo katika mji wa Zuwara ulioko katika pwani ya magharibi mwa Libya.

  • Mjumbe wa UN nchini Libya: Mamluki maajinabi wanataka kuzidhibiti vyanzo vya mafuta vya nchi hiyo

    Mjumbe wa UN nchini Libya: Mamluki maajinabi wanataka kuzidhibiti vyanzo vya mafuta vya nchi hiyo

    Jul 16, 2018 22:21

    Mjumbe wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia mgogoro wa Libya amesema kuhusu matukio ya hivi karibuni nchini humo kuwa mamluki kutoka nchi ajinabi wanajaribu kudhibiti mafuta ya Libya.

  • EU yafungua ubalozi wake wa Libya uliofungwa 2014

    EU yafungua ubalozi wake wa Libya uliofungwa 2014

    Jul 15, 2018 02:37

    Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, Federica Mogherini ameitembelea Tripoli, mji mkuu wa Libya na kufungua upya ubalozi wa umoja huo uliohamishiwa Tunis, mji mkuu wa Tunisia mwaka 2014.

  • Mashambulizi ya NATO Libya, yamewaletea raia wa nchi hiyo aina kadhaa za saratani

    Mashambulizi ya NATO Libya, yamewaletea raia wa nchi hiyo aina kadhaa za saratani

    Jul 14, 2018 23:18

    Nouri al-Daruqi, Mtafiti wa nchini Libya amesema kuwa aina kadhaa za ugonjwa wa saratani zimeibuka baada ya Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) kuishambulia kijeshi nchi hiyo mwaka 2011.

  • Wafanyakazi wauawa katika kituo cha maji nchini Libya

    Wafanyakazi wauawa katika kituo cha maji nchini Libya

    Jul 07, 2018 09:10

    Wabeba silaha wasiojulikana wamewapiga risasi na kuwaua wafanyakazi wawili na kuwateka nyara wengine wawili katika kituo cha kusambaza maji kusini mashariki mwa Libya mapema leo asubuhi. Shambulizi hilo ni la pili kulenga vituo vya kusambaza maji nchini humo katika kipindi cha siku mbili zilizopita.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS