-
Umoja wa Mataifa walaani shambulizi la leo la kigaidi la nchini Libya + Video
May 02, 2018 11:10Kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Libya UNSMIL kimelaani shambulizi la kigaidi lililotokea leo katika ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi mjini Tripoli na kupelekea watu 14 kuuawa.
-
Shambulizi dhidi ya makao makuu ya Tume ya Uchaguzi Libya laua 14 + Video
May 02, 2018 10:28Kwa akali watu 14 wameuawa baada ya kundi la kigaidi kushambulia kwa mabomu na risasi makao makuu ya Tume ya Uchaguzi nchini Libya leo Jumatano.
-
Misri na Imarati zatuhumiwa kuvuruga mchakato wa mapatano ya kitaifa Libya
Apr 24, 2018 11:54Jumuiya ya International Action Group for Libya imezituhumu nchi za Imarati na Misri kuwa zinavuruga jitihada zinazofanywa na ujumbe wa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya mapatano ya kitaifa nchini Libya.
-
Wahajiri 11 wa Kiafrika wamekufa maji katika pwani ya Libya
Apr 23, 2018 03:15Kwa akali wahajiri 11 wa Kiafrika wameripotiwa kufariki dunia baada ya boti yao kuzama katika maji ya pwani ya magharibi mwa Libya, wakati wakiwa safarini kuelekea Ulaya.
-
Uingiliaji wa kigeni, sababu kuu ya ukosefu wa amani nchini Libya
Apr 16, 2018 22:48Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Libya amekosoa uingiliaji wa madola ya kigeni na kusema kwamba, sababu kuu ya nchi hiyo kushuhudia ukosefu wa usalama na amani ni uingiliaji wa madola hayo katika masuala ya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Siyala: Uingiliaji wa nchi ajinabi; chanzo kikuu cha machafuko Libya
Apr 15, 2018 09:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Libya amekosoa uingiliaji wa nchi ajinabii kuwa sababu kuu inayosababisha hali ya machafuko na ukosefu wa amani nchini humo.
-
Indhari ya Umoja wa Mataifa kuhusiana na muamala mbaya dhidi ya wafungwa nchini Libya
Apr 11, 2018 08:16Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, makundi yanayobeba silaha nchini Libya yanawatesa na kuwaua wafungwa wanaoshikiliwa kwenye jela ambazo kidhahiri ziko chini ya udhibiti wa serikali ya nchi hiyo.
-
UN: Makundi ya wabeba silaha yanawatesa na kuwaua wafungwa katika jela za Libya
Apr 11, 2018 00:06Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa makundi yanayobeba silaha nchini Libya yanawatesa na kuwaua wafungwa wanaoshikiliwa kwenye jela ambazo kidhahiri ziko chini ya udhibiti wa serikali ya nchi hiyo.
-
Libya kuitisha kongamano la kitaifa
Apr 06, 2018 09:41Viongozi wa Libya wako mbioni kuandaa utangulizi wa mkutano wa kitaifa wenye lengo la kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Jeshi la Libya laanza kutekeleza operesheni dhidi ya kundi la kigaidi la DAESH
Apr 03, 2018 03:29Serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya imetangaza kuwa jeshi lake limeanza kutekeleza operesheni ya mashambulio dhidi ya kundi la kigaidi na ukufurishaji la DAESH magharibi mwa nchi hiyo.