Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Raia watano waliuawa Libya katika mapigano mwezi Machi

    Raia watano waliuawa Libya katika mapigano mwezi Machi

    Apr 02, 2018 02:57

    Idara ya Umoja wa Mataifa nchini Libya, UNSMIL, imetoa taarifa na kusema raia watano waliuawa na wengine 11 kujeruhiwa nchini Libya katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita wa Machi.

  • UN: Ni hatari kufanyika uchaguzi sasa hivi nchini Libya

    UN: Ni hatari kufanyika uchaguzi sasa hivi nchini Libya

    Mar 31, 2018 23:39

    Mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya amesema kuwa, ni hatari kufanyika uchaguzi katika mazingira ya hivi sasa nchini Libya.

  • Meya wa mji mkuu wa Libya, Tripoli atekwa nyara na kupelekwa kusikojulikana

    Meya wa mji mkuu wa Libya, Tripoli atekwa nyara na kupelekwa kusikojulikana

    Mar 29, 2018 11:03

    Kundi la watu wenye silaha limemteka nyara na kumpeleka kusikojulikana Meya wa mji mkuu wa Libya, Tripoli Abdulraouf Hassan Baitelmal.

  • Human Rights Watch yatoa wito wa kufanyika uchaguzi huru Libya

    Human Rights Watch yatoa wito wa kufanyika uchaguzi huru Libya

    Mar 21, 2018 10:44

    Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limewataka viongozi wa Libya kuchukua hatua madhubuti ili kudhamini uchaguzi huru na wa haki katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.

  • UN yakemea kutekwa nyara Mwendesha Mashtaka wa Jeshi Libya

    UN yakemea kutekwa nyara Mwendesha Mashtaka wa Jeshi Libya

    Mar 21, 2018 00:35

    Kikosi cha Walinda Amani wa Umoja wa Mataifa nchini Libya kimetoa wito wa kuchukuliwa hatua za dharura za kulinda usalama wa Mwendesha Mashtaka wa Jeshi nchini Libya.

  • Zimwi la Gaddafi lamuandama Sarkozy wa Ufaransa; azuiliwa

    Zimwi la Gaddafi lamuandama Sarkozy wa Ufaransa; azuiliwa

    Mar 20, 2018 12:26

    Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy, anazuiliwa na polisi ya mjini Paris, kwa ajili ya kusailiwa kuhusu tuhuma za kufadhiliwa na Libya katika uchaguzi wa mwaka 2007.

  • Seif al-Islam Gaddafi ajiandikisha kugombea urais nchini Libya

    Seif al-Islam Gaddafi ajiandikisha kugombea urais nchini Libya

    Mar 20, 2018 04:31

    Mkuu wa Mipango ya Mwana wa Kanali Muammar Gaddafi, yaani Seif al-Islam Gaddafi ametangaza kuwa, mwana huyo wa kiongozi wa zamani wa Libya ameandikisha jina lake la kuwa miongoni mwa wagombea katika uchaguzi ujao wa rais nchini humo.

  • Mamia ya watu wameuawa au kutekwa nyara Libya mwaka jana 2017

    Mamia ya watu wameuawa au kutekwa nyara Libya mwaka jana 2017

    Mar 18, 2018 03:17

    Taasisi ya Haki za Binadamu ya "Mshikamano" ya nchini Libya imetoa ripoti ikieleza kuwa mwaka jana wa 2017 matukio 744 ya mauaji na utekaji nyara yaliripotiwa na kusajiliwa nchini humo.

  • Mkuu wa Baraza Kuu la Serikali Libya anusurika jaribio la kumuua

    Mkuu wa Baraza Kuu la Serikali Libya anusurika jaribio la kumuua

    Mar 16, 2018 01:27

    Idara ya Habari ya Mkuu wa Baraza Kuu la Serikali ya Libya imetangaza kuwa, kiongozi huyo na ujumbe uliokuwa ukiandamana naye umenusurika jaribio la kuuawa huko magharibi mwa nchi hiyo.

  • Ofisi ya Mashtaka Libya yatoa waranti wa kutiwa nguvuni wahusika zaidi ya 200 wa magendo ya binadamu

    Ofisi ya Mashtaka Libya yatoa waranti wa kutiwa nguvuni wahusika zaidi ya 200 wa magendo ya binadamu

    Mar 15, 2018 04:21

    Ofisi ya Mkuu wa Mashtaka wa serikali ya Libya imetoa waranti wa kutiwa nguvuni zaidi ya watu 200 wanaohusika na mtandao mkubwa wa magendo ya binadamu kuelekea pwani ya Ulaya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS