Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Imarati inatumia pesa zilizozuiwa za Libya kuwaunga mkono wapiganaji wa Haftar

    Imarati inatumia pesa zilizozuiwa za Libya kuwaunga mkono wapiganaji wa Haftar

    Mar 12, 2018 10:16

    Makamu wa pili wa Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Libya amesema kuwa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) unatumia pesa zilizozuiwa za Libya kuwaunga mkono wapiganaji wa kamanda wa jeshi la taifa la nchi hiyo.

  • Libya yashambulia meli ya kigeni katika mpaka wake wa baharini

    Libya yashambulia meli ya kigeni katika mpaka wake wa baharini

    Mar 11, 2018 12:50

    Jeshi la Anga la Libya limesema kuwa, limeshambulia meli moja ya kigeni ambayo imeingia katika maji ya mashariki mwa nchi hiyo kinyume cha sheria.

  • Jeshi la Libya lawapa wahajiri wa Kiafrika muda wa siku 9 wawe wameshatoka nchini humo

    Jeshi la Libya lawapa wahajiri wa Kiafrika muda wa siku 9 wawe wameshatoka nchini humo

    Mar 09, 2018 00:15

    Jeshi la taifa la Libya jana (Alkhamisi) liliwapa wahajiri wa Kiafrika muda wa siku tisa wahakikishe wameshaondoka katika ardhi ya nchi hiyo.

  • Watu watatu wauawa katika mapigano ya kusini mwa Libya

    Watu watatu wauawa katika mapigano ya kusini mwa Libya

    Mar 07, 2018 04:03

    Ofisi ya habari ya kituo cha afya mjini Sabha, kusini mwa Libya imetangaza habari ya kuuawa watu watatu katika mapigano mapya yaliyotokea mjini humo.

  • Hali mbaya ya wakimbizi wa Libya; kushindwa asasi za ndani na za kimataifa

    Hali mbaya ya wakimbizi wa Libya; kushindwa asasi za ndani na za kimataifa

    Mar 05, 2018 09:19

    Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusiana na hali mbaya ya kibinadamu inayowakabili wakimbizi wa Libya katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.

  • Mazungumzo ya mjumbe wa Umoja wa Mataifa na Khalifa Haftar nchini Libya

    Mazungumzo ya mjumbe wa Umoja wa Mataifa na Khalifa Haftar nchini Libya

    Mar 04, 2018 08:10

    Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya, Ghassan Salamé amekutana na kufanya mazungumzo na Jenerali Khalifa Haftar kuhusiana na masuala ya kijeshi na kisiasa ndani ya taifa hilo la kaskazini mwa Afrika.

  • Maelfu ya wahajiri walioko Libya kurejea kwao Gambia

    Maelfu ya wahajiri walioko Libya kurejea kwao Gambia

    Mar 01, 2018 12:01

    Shirika la Kimataifa la Uhamiaji limetangaza kuwa shirika hilo lina mpango wa kuwarejesha kwao Gambia maelfu ya wahajiri waliokwama nchini Libya.

  • UN yatahadharisha kuhusu hali ya wakimbizi Libya

    UN yatahadharisha kuhusu hali ya wakimbizi Libya

    Feb 28, 2018 12:56

    Mratibu wa Masuala ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuhusu hali ya kusikitisha ya wakimbizi walioko Libya.

  • Kuna zaidi ya wahamiaji laki saba haramu huko Libya

    Kuna zaidi ya wahamiaji laki saba haramu huko Libya

    Feb 25, 2018 23:14

    Shirika la Kimataifa ya Wahajiri limesema kuwa, hivi sasa kuna zaidi ya wahamiaji haramu laki saba kutoka nchi 40 tofauti nchini Libya.

  • Sisitizo la Fayez al-Sarraj kuhusu nafasi ya kura ya maoni katika kuhitimisha mgogoro wa kisiasa nchini Libya

    Sisitizo la Fayez al-Sarraj kuhusu nafasi ya kura ya maoni katika kuhitimisha mgogoro wa kisiasa nchini Libya

    Feb 19, 2018 03:40

    Waziri Mkuu wa serikali ya maridhiano ya kitaifa ya Libya amesisitiza kuwa: kufanyika kura ya maoni ya rasimu ya katiba kutakuwa na taathira kubwa katika kuhitimisha mkwamo wa kisiasa ulioitanza nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS