-
Wakimbizi 33 wengine wapoteza maisha nchini Libya
Feb 14, 2018 13:20Duru za kuaminika nchini Libya zimetangaza habari ya kuuawa wakimbizi zaidi ya 30 katika ajali ya barabarani nchini humo.
-
Hujuma ya kigaidi msikitini Benghazi, Libya, watu kadhaa wauawa au kujeruhiwa
Feb 09, 2018 11:48Watu kadhaa wanaripotiwa kupoteza maisha au kujeruhiwa katika mji wa Benghazi nchini Libya kufuatia hujuma ya kigadi wakati wa Sala ya Ijumaa hii leo.
-
UN: Wafanya magendo ya binadamu Libya wanashirikiana na maafisa usalama
Feb 08, 2018 10:20Ripoti ya siri ya Umoja wa Mataifa iliyokabidhiwa Baraza la Usalama la umoja huo imefichua kuwa, wanaofanya magendo ya binadamu nchini Libya wana mafungamano na taasisi rasmi za usalama za nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Kamanda wa Libya anayesakwa na ICC ajisalimisha
Feb 07, 2018 11:23Mahmoud Mustafa Busayf Al-Werfalli, kamanda wa ngazi ya juu huko Libya anayesakwa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kwa tuhuma za kuhusika na jinai za kivita amejisalimisha kwa wapiganaji watiifu kwa Jenerali Khalifa Haftar mjini Benghazi.
-
UN: Magendo ya binadamu inaongezeka Libya
Feb 06, 2018 04:14Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wametahadharisha kuhusu ongezeko la magendo ya binadamu nchini Libya.
-
Zaidi ya wahajiri haramu 90 watoweka katika pwani ya Libya wakielekea Ulaya
Feb 02, 2018 11:11Shirika la Kimataifa la Wahajiri (IOM) limetangaza kuwa, makumi ya wahajiri haramu wametoweka katika maji ya pwani ya Libya baada ya boti yao kuzama baharini.
-
Serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya yasisitiza kufuatiliwa kisheria wahusika wa mauaji ya hadharani
Jan 28, 2018 11:36Baraza la uongozi la serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya imesema kuwa inawajibika kuwafuatilia kisheria wale wote waliohusika na mauaji ya hadharani nchini humo.
-
UN yashtushwa na kutapakaa maiti mashariki mwa Libya
Jan 28, 2018 04:41Umoja wa Mataifa umeeleza wasi wasi wake kutokana na kutapakaa maiti za watu waliouawa katika mazingira ya kutatanisha mashariki mwa Libya.
-
Libya inahitaji msaada wa kibinadamu wa dola milioni 313
Jan 26, 2018 00:11Mratibu wa masuala ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya, amezindua mkakati wa kushughulikia maafa ya kibinadamu mwaka huu wa 2018 nchini Libya.
-
Unicef yakosoa kutoheshimu sheria pande zinazozozana Libya
Jan 25, 2018 10:58Mjumbe Maalumu wa Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) nchini Libya amezitaka pande zinazozozana nchini humo kuheshimu sheria za kimataifa.