-
Uzalishaji mafuta wakwama tena kusini magharibi mwa Libya
Apr 10, 2017 23:16Uzalishaji wa mafuta katika medani ya al Sharara ya kusini magharibi mwa Libya umekwama tena baada ya watu wenye silaha kufunga bomba moja la kusafirishia mafuta.
-
Wafanya magendo ya binadamu wanne wauawa pwani ya Libya
Apr 07, 2017 03:24Watu wanne wanaotuhumiwa kufanya magendo ya bindamu wameuawa katika makabiliano na askari wa Gadi ya Pwani ya Libya.
-
Wahajiri zaidi ya 150 waokolewa katika pwani ya Libya
Apr 03, 2017 22:59Msemaji wa jeshi la majini wa Libya amesema kuwa, wahajiri zaidi ya 150 wameokolewa katika pwani ya nchi hiyo katika bahari ya Mediterania.
-
Makabila ya kusini mwa Libya yatia saini makubaliano ya amani mjini Roma, Italia
Apr 03, 2017 00:10Wizara ya Mambo ya Ndani ya Italia imetangaza habari ya kutiwa saini makubaliano ya amani na makabila ya kusini mwa Libya mjini Roma, kwa lengo la kusimamia mpaka wa kusini mwa nchi hiyo wenye urefu wa kilometa 5000.
-
Makumi ya wahajiri haramu watiwa nguvuni Libya wakijaribu kuingia Ulaya
Mar 28, 2017 03:41Askari wa kikosi cha Gadi ya Pwani ya Libya wamewatia nguvuni wahajiri haramu 60 wenye uraia wa Bangladesh ambao walikuwa wanajaribu kuingia barani Ulaya kupitia Bahari ya Mediterranean.
-
Marekani: Ni kweli tunao askari maalumu nchini Libya kwa ajili ya ujasusi
Mar 27, 2017 08:05Marekani imekiri kuwa ina imetuma askari maalumu nchini Libya kwa ajili ya ujasusi na kukusanya habari za kiintelejensia.
-
Libya: Uturuki ndio inayounga mkono makundi ya kigaidi yanayofanya jinai Libya
Mar 19, 2017 23:32Msemaji wa wapiganaji wa serikali yenye makao yake huko mashariki mwa Libya ameiarifisha rasmi Uturuki kuwa ndio muungaji mkono mkubwa wa makundi ya kigaidi nchini humo.
-
Safari ya Waziri Mkuu wa Libya nchini Sudan yaakhirishwa
Mar 15, 2017 13:00Ziara ya Waziri Mkuu wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya nchini Sudan imeakhirishwa kutokana na matukio ya kiusalama nchini humo.
-
Russia yamuunga mkono kamanda wa jeshi la Libya
Mar 14, 2017 04:33Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia na Kamanda wa jeshi la taifa la Libya wamefanya mazungumzo kuhusu kuendeleza ushirikiano wa kijeshi kati ya pande mbili.
-
Jeshi la Libya lashambulia maeneo ya al Qaida
Mar 13, 2017 03:37Jeshi la Libya limefanya mashambulizi ya anga dhidi ya maeneo ya kundi la kigaidi la al Qaida katika eneo lenye mafuta mengi linalojulikana kwa jina la "Hilali ya Mafuta" kaskazini mwa nchi hiyo.