Jun 25, 2018 02:55
Wizara ya Mambo ya Nje ya Uingereza bila ya kuashiria nafasi ya nchi hiyo na waitifaki wake wa Magharibi katika kuunga mkono na kuusaidia utawala wa Saddam huko Iraq, umekiri kuwa utawala huo ulitenda jinai katika vita dhidi ya Iran.