-
Je, dunia itabaki kuwa mtazamaji pekee wa mauaji ya kimbari Gaza?
May 01, 2025 13:17Ukanda wa Gaza uko katika janga kubwa la kibinadamu. Katika miezi iliyopita, kushadidi mzingiro wa utawala haramu wa Israel katika eneo hilo sambamba na mashambulizi ya mara kwa mara ya angani na nchi kavu, na vizuizi vikali vya misaada ya kibinadamu vilivvyowekwa na utawala huo wa Kizayuni vimeharibu si tu miundombinu ya msingi ya eneo hilo, bali pia vimeweka hatarini matumaini ya kuendelea kuishi kwa malaki ya raia wa Palestina.
-
Asasi za kimataifa: Maghala ya chakula Gaza yamebakia tupu
May 01, 2025 13:03Asasi mbalimbali za kimataifa zimeonya kuhusiana na hali mbaya ya uhaba na ukosefu wa chakula katika Ukanda wa Gaza na kueleza kuwa, hivi sasa maghala ya chakula katika ukanda huo yapo tupu.
-
UN: Bila msaada wa haraka wa fedha, maelfu ya watoto wanaweza kufariki dunia Yemen
Aug 20, 2020 08:09Mratibu wa Umoja wa Mataifa wa masuala ya kibinadamu nchini Yemen ametahadharisha kuwa maelfu ya watoto wanaweza kufariki dunia iwapo misaada ya haraka ya fedha haitatolewa ili kukabiliana na hali mbaya ya kibinadamu inayoikabili nchi hiyo.
-
Nasrullah: Mlipuko wa Beirut ni janga kubwa la kibinadamu na kitaifa
Aug 08, 2020 11:03Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, mlipuko uliotokea katika bandari ya Beirut ni janga kubwa la kibinadamu na kitaifa.
-
Yemen katika ukingo wa shimo la maafa makubwa ya kibinadamu
Dec 03, 2018 01:09Mark Lowcock, Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya misaada ya kibinadamu amesema kuwa, misaada zaidi inahitajika kwa ajili ya wananchi wa Yemen katika mwaka ujao wa 2019 na kutahadharisha kuwa, nchi ya Yemen iliyoharibiwa vibaya na vita iko katika ukingo wa shimo la maafa makubwa ya kibinadamu.
-
Papa Francis: Jamii ya kimataifa izuie maafa ya binadamu Idlib
Sep 03, 2018 03:32Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis ameitaka jamii ya kimataifa itumie njia za kidiplomasia na mazungumzo kuzuia maafa ya binadamu katika mkoa wa Idlib nchini Syria.
-
Indhari za kimataifa; Yemen katika maafa ya kibinadamu
Aug 05, 2018 02:30Kufuatia kushtadi mashambulizi ya vikosi vamizi vya Saudi Arabia na waitifaki wake huko Yemen, taasisi za misaada ya kibinadamu za kimataifa zimetahadharisha kuhusu kutokea maafa ya kibinadamu nchini humo khususan katika bandari iliyokumbwa na mgogoro ya al Hudaydah.
-
Vita vya Yemen ni vita dhidi ya watoto
May 30, 2018 02:33Baada ya kutembelea, Sanaa, mji mkuu wa Yemen na maeneo mengine ya kusini mwa nchi hiyo, Susanna Kruger mkuu wa mfuko wa watoto wa Save the Children, umaitaja hali ya nchi hiyo kuwa ya kusikitisha na mgogoro mkubwa zaidi wa kibinadamu duniani.
-
Hilali Nyekundu ya Iran kutuma misaada kwa Waislamu wa Rohingya
Sep 07, 2017 14:33Shirika la Hilali Nyekundu la Jamhuri ya Kiislamau ya Iran limesema limeandaa misaada ya kibinadamu kwa ajili ya Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar.
-
Zaidi ya watu 300 wameaga dunia baada ya kufukiwa na maporomoko ya udongo Sierra Leone
Aug 14, 2017 12:14Wwatu wasiopungua 312 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 2000 wamebaki bila ya makazi kutokana na maporomoko ya udongo yaliyotokea nje kidogo ya mji mkuu wa Sierra Leone.