-
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa atahadharisha kuhusu hali mbaya ya watu wa Yemen
Apr 27, 2017 02:40Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, watoto zaidi ya 50 wa Yemen wanafariki dunia kila siku kutokana na hali mbaya inayotawala nchi hiyo.
-
Hali ya kibinadamu yazidi kuzorota katika Jamhuri ya Afrika ya Kati
Mar 19, 2017 16:25Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa hali ya kibinadamu imeendelea kuwa mbaya katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
UN yatoa indhari: Hali ya kibinadamu Sudan Kusini inazidi kuwa mbaya
Mar 01, 2017 15:56Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa hali ya kibinadamu nchini Sudan Kusini inazidi kuwa mbaya na kutoa wito wa kurahisisha ufikishaji misaada katika maeneo yaliyoathiriwa na machafuko na ya watu wenye ukata wa maisha.
-
UN: Hali ya kibinadamu nchini Libya inatisha
Dec 01, 2016 04:09Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya amesema, hali ya kibinadamu na kiusalama nchini humo ni ya kutia wasiwasi mkubwa.
-
MSF: Hali ya kibinadamu Jamhuri ya Afrika ya Kati inatia wasiwasi
Nov 20, 2016 08:08Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka limeeleza wasiwasi wake kuhusu hali mbaya ya kibinadamu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Mgororo wa njaa wayakumba maeneo ya Ziwa Chad
Jun 14, 2016 14:19Kamati ya Kimataifa ya Shirika la Msalaba Mwekundu imetangaza kuwa watu zaidi ya milioni 9 wa eneo la Ziwa Chad barani Afrika wanahitaji misaada ya dharura ya kibinadamu.
-
Syria: UN inatia siasa kwenye masuala ya kibinadamu nchini humo
Jun 04, 2016 07:47Balozi wa Syria katika Umoja wa Mataifa amekosoa hatua ya Baraza la Usalama la umoja huo kutia kile alichokitaja kuwa siasa kuhusu hali ya kibinadamu katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
WHO: Yemen inakumbwa na maafa ya kibinadamu
Apr 06, 2016 02:56Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini Yemen amesema asilimia 80 ya watu wa nchi hiyo wanahitaji misaada ya kibinadamu.