-
Netanyahu akaribishwa UK kwa maandamano ya kuwaunga mkono Wapalestina
Mar 25, 2023 04:36Mamia ya waungaji mkono wa Palestina na wapinzani wa utawala haramu wa Israel wamefanya maandamano mjini London, kulaani safari ya Waziri Mkuu wa utawala huo wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu nchini Uingereza.
-
Waungaji mkono wa Rais wa Tunisia waandamana dhidi ya 'wasaliti'
Mar 20, 2023 22:57Mamia ya wafuasi wa serikali ya Rais Kais Saied wa Tunisia jana Jumatatu walifanya maandamano katika mji mkuu Tunis, kuonyesha uungaji mkono wao kwa kiongozi huyo anayekabiliwa na mashinikizo ya kumtaka ajiuzulu.
-
Kadhaa wajeruhiwa na kukamatwa katika maandamano ya wapinzani Kenya, Afrika Kusini
Mar 20, 2023 10:31Maafisa usalama nchini Kenya wametumia mabomu ya gesi ya kutoa machozi na maji ya kuwasha kukabiliana na wafuasi wa kinara wa upinzani nchini humo Raila Odinga, ambao wamejitokeza kwa wingi kushiriki maandamano ya nchi nzima dhidi ya serikali ya Rais William Ruto.
-
Wapalestina wapinga mkutano na Israel ulioandaliwa na US huko Jordan
Feb 26, 2023 23:01Maelfu ya Wapalestina wamefanya maandamano katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan kulalamikia mkutano eti wa kiusalama ulioandaliwa na Marekani huko Jordan, siku chache baada ya jeshi katili la Israel kufanya mashambulizi ya umwagaji damu huko Jenin.
-
Maelfu waandamana Italia, Ujerumani kupinga vita na kupewa silaha Ukraine
Feb 26, 2023 07:53Maelfu ya wananchi wa Italia wamefanya maandamano katika miji mbalimbali ya nchi hiyo kulalamikia vikwazo vya Magharibi dhidi ya Russia, huku vita vya Ukraine vikiingia mwaka wake wa pili.
-
Polisi ya Ufaransa yakandamiza maandamano ya wananchi
Feb 12, 2023 23:04Askari polisi nchini Ufaransa wamewashambulia vibaya mamia ya maelfu ya watu walioshiriki maandamano ya kulalamikia sera za Rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo, na hususan mageuzi tata ya pensheni yaliyotazamiwa kuanza kutekelezwa mwaka huu wa 2023.
-
Tathmini ya maandamano ya ‘watu mamilioni moja’ Ufaransa ya kupinga sera za serikali ya Macron
Feb 12, 2023 23:03Takribani watu milioni moja waliandamana siku ya Jumamosi nchini Ufaransa ikiwa ni mara ya nne wakipinga sera za serikali ya Rais Emmanuel Macron.
-
Maandamano makubwa nchini Uswisi kulalamikia mshahara mdogo na ugumu wa maisha
Jan 24, 2023 05:45Maandamano makubwa yamefanyika katika mji wa Lausanne nchini Uswisi kulalamikia kiwango cha chini cha mishahara, ugumu wa maisha na kupanda bei za bidhaa ambako hakuendani na mshahara wa wafanyakazi.
-
Maelfu waandamana tena dhidi ya serikali yenye misimamo mikali ya Netanyahu
Jan 22, 2023 04:12Kwa mara nyingine, makumi ya maelfu ya wakazi wa ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina na kupachikwa jina la Israel wameandamana dhidi ya serikali yenye misimamo ya kuchupa mipaka ya Benjamin Netanyahu.
-
Wananchi wa Burkina Faso waandamana dhidi ya Ufaransa
Jan 21, 2023 06:48Mamia ya wananchi wa Burkina Faso wamejitokeza mabarabarani katika mji mkuu Ouagadougou kushiriki maandamano dhidi ya Ufaransa, hatua inayoonesha jinsi ushawishi wa Paris katika nchi za bara la Afrika unavyoendelea kupungua.