-
Wananchi wa Tunisia waandamana tena dhidi ya Rais Kais Saied
Jan 15, 2023 03:25Kwa mara nyingine tena wananchi wa Tunisia wamefanya maandamano makubwa wakimtaka Rais Kais Saied wa nchi hiyo na serikali yake wajiuzulu, kwa kushindwa kuinasua nchi hiyo kutoka kwenye mgogoro wa kisiasa na hali mbaya ya kiuchumi na kijamii.
-
Polisi Ufaransa yashambulia waandamanaji wa 'Vizibao vya Njano'
Jan 09, 2023 00:38Askari polisi nchini Ufaransa wamewashambulia vibaya maelfu ya watu walioshiriki maandamano ya Vizibao vya Njano, kulalamikia sera za Rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo na hususan mageuzi tata ya pensheni yanayotazamiwa kuanza kutekelezwa mwaka huu wa 2023.
-
Wabahrain waandamana kulalamikia kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel
Dec 26, 2022 04:06Wananchi wa Bahrain wameandamana kulalalamikia na kulaani hatua ya nchi yao ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Maandamano makubwa ya Wafaransa ya kupinga sera za NATO na Ulaya katika vita vya Ukraine
Dec 21, 2022 23:38Kutokana na kushamiri hali mbaya ya kiuchumi katika nchi mbalimbali za Ulaya, wananchi wengi wa nchi hizo wanapinga sera za Umoja wa Ulaya katika vita vya Ukraine. Hali mbaya ya uhaba wa nishati na wasiwasi unaotokana na msimu wa baridi kali unaokaribia kuanza,
-
Waislamu wa Nigeria waandamana kulaani ukandamizaji wa Mashia Azerbaijan
Dec 11, 2022 09:10Wananchi Waislamu wa Nigeria wameandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika kulalamikia mbinyo na ukandamizaji dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Azerbaijan.
-
Wasudan wataka UN iache kuingilia masuala ya ndani ya nchi yao
Dec 04, 2022 03:38Maelfu ya wananchi wa Sudan wamefanya maandamano ya kupinga makubaliano ya amani yanayotazamiwa kusainiwa kesho Jumatatu kwa shabaha ya kuhitimisha mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.
-
Maandamano yafanyika Afrika Kusini kulaani kuachiwa Mzungu katili
Dec 01, 2022 23:13Wananchi wa Afrika Kusini wamefanya maandamano kulalamikia hatua ya mahakama ya nchi hiyo kumuachia huru raia mbaguzi wa Poland aliyemuua mmoja wa viongozi waliokuwa wanapinga utawala wa zamani wa ubaguzi wa rangi (apartheid).
-
Wasudan waandamana kupinga uingiliaji wa wageni katika masuala ya ndani ya nchi yao
Nov 20, 2022 06:21Wafuasi wa chama tawala cha zamani nchini Sudan na baadhi ya vyama vya kisiasa wameandamana mjini Khartoum, mji mkuu wa nchi hiyo, kupinga uingiliaji wa madola ya kigeni katika masuala ya ndani ya Sudan.
-
Maelfu waandamana Italia kuishinikiza Rome isiunge mkono vita vya Ukraine
Nov 06, 2022 03:48Maelfu ya wananchi wa Italia wamefanya maandamano katika mji mkuu Rome, kulalamikia hatua ya serikali ya nchi hiyo ya kuunga mkono vita vinavyoendelea Ukraine.
-
Wasudani waendeleza mandamano kupinga utawala wa kijeshi
Oct 26, 2022 04:07Maandamano makubwa dhidi ya serikali ya kijeshi nchini Sudan kwa mara nyingine tena yamesababisha mapigano makali kati ya askari usalama na waandamanaji.