-
Mawaziri sita wa serikali ya Israel washiriki katika maandamano ya kupinga serikali
Dec 17, 2018 11:50Baada ya kupata kipigo kutoka kwa wanamapambano wa Palestina na kulazimika Israel kukomesha uvamizi wake wa Ghaza baada ya siku mbili tu, sasa hivi utawala wa Kizayuni umekumbwa na maandamano ya kuipinga serikali huku mawaziri sita wa serikali hiyo nayo wakishiriki kwenye maandamano ya jana usiku ya kumpinga waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu.
-
Maandamano makubwa ya kupinga mfumuko wa bei yafanyika Sudan
Dec 17, 2018 10:01Maandamano makubwa ya kulalamikia mfumuko wa bei yamefanyika katika miji kadhaa ya Sudan ambapo waandamaji wakiwa wabeba mabango na maberamu wamepiga nara dhidi ya serikali ya Khartoum.
-
Serikali ya Misri yaogopa kivuli chake, yapiga marufuku uuzaji wa 'vizibao vya njano'
Dec 11, 2018 03:51Serikali ya Misri imepiga marufuku uuzaji wa vizibao vya njano, ikihofia kuwa huenda wapinzani wakavitumia katika maandamano kama yale yanayoshuhudiwa nchini Ufaransa kwa zaidi ya wiki nne sasa.
-
Wanawake wa Israel waandamana kulalamikia ukatili wa kingono
Dec 04, 2018 21:38Maelfu ya wanawake wa Israel walifanya maandamano jana Jumanne katika kila kona ya utawala huo haramu, wakilalamikia unyanyasaji wa kingono, mateso dhidi yao na udhalilishaji wa kijinsia.
-
Maandamano yafanyika Buenos Aires, Argentina kupinga mkutano wa G20 na Bin Salman
Nov 29, 2018 09:53Raia wa Argentina wamefanya maandamano mjini Buenos Aires, mji mkuu wa nchi hiyo wakipinga kufanyika mkutano wa kundi la G20 utakaohudhuriwa na Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia.
-
Waislamu Nigeria waendelea kuandamana kutaka Sheikh Zakzaky aachiliwe huru
Nov 28, 2018 23:40Wananchi Waislamu wa Nigeria wamefanya maandamano ya kutaka kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky aachiliwe huru.
-
Wapinzani kuandamana dhidi ya serikali nchini Zimbabwe
Nov 27, 2018 04:31Chama kikuu cha upinzani nchini Zimbabwe kimetangaza Alkhamisi ya kesho kutwa kuwa siku ya kufanya maandamano ya kitaifa dhidi ya serikali.
-
Wafanyakazi wa umma waandamana wakitaka nyongeza ya mishahara Tunisia
Nov 23, 2018 04:16Maelfu ya watumishi wa umma nchini Tunisia jana Alkhamisi walimiminika mabarabarani kushiriki maandamano ya kushinikiza nyongeza ya mishahara.
-
Maelfu ya wakazi wa Daraa, Syria waandamana kumuunga mkono Rais Bashar al Assad
Nov 16, 2018 04:18Maelafu ya wakazi wa jimbo la Daraa, kusini magharibi mwa Syria wamefanya maandamano makubwa wakimuunga mkono Rais Bashar al Assad wa nchi hiyo.
-
Maelfu waandamana Kongo DR kupinga mashine za kielektroniki za kura
Oct 26, 2018 11:03Maelfu ya wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamefanya maandamano hii leo katika mji mkuu Kinshasa na miji mingine mikuu ya nchi hiyo wakitaka kutotumika mashine za kupiga kura kwa njia ya kielektroniki, huku wakisisitiza kuwa mashine hizo huenda zikapelekea kuibiwa kura.