Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

maandamano

  • Roma wajiunga na walimwengu kulaani jinai za Saudia nchini Yemen

    Roma wajiunga na walimwengu kulaani jinai za Saudia nchini Yemen

    Sep 19, 2018 23:16

    Kundi moja la wananchi wa Italia limekusanyika mbele ya ubalozi wa Saudi Arabia mjini Rome kulaani jinai za Aal Saud huko Yemen.

  • Wabahrain waandamana kumuunga mkono Sheikh Issa Qassim

    Wabahrain waandamana kumuunga mkono Sheikh Issa Qassim

    Sep 14, 2018 10:47

    Idadi kubwa ya Waislamu wa Bahrain leo Ijumaa wamefanya maandamano baada ya Swala ya Ijumaa kandokando ya Msikiti wa Imam Jaafar Sadiq (a.s) wakionyesha uungaji mkono na mshikamano wao kwa Sheikh Issa Qassim, mwanazuoni mtajika wa madhehebu ya Shia wa nchi hiyo.

  • Wapinzani waendelea na maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi nchini Mali

    Wapinzani waendelea na maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi nchini Mali

    Sep 01, 2018 23:54

    Wapinzani wa serikali ya Mali kwa mara nyingine tena wamefanya maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais.

  • Maandamano ya kilomita 400 yafanyika Pakistan kulaani kuvunjiwa heshima Bwana Mtume Muhammad SAW

    Maandamano ya kilomita 400 yafanyika Pakistan kulaani kuvunjiwa heshima Bwana Mtume Muhammad SAW

    Aug 30, 2018 03:26

    "Harakati ya Tumeitika Ewe Mjumbe wa Allah" ya nchini Pakistan inayoongozwa na Allamah Khadim Hussein Razavi jana ilianza maandamano yake kutoka mji wa Lahore kuelekea Islamabad, mji mkuu wa nchi hiyo ambayo yanafanyika kwa lengo la kulaani kuvunjiwa heshima Bwana Mtume Muhammad SAW nchini Uholanzi.

  • Wanajeshi wa Israel wamewaua shahidi Wapalestina 180 katika maandamano

    Wanajeshi wa Israel wamewaua shahidi Wapalestina 180 katika maandamano

    Aug 25, 2018 02:34

    Wizara ya Afya ya Palestina imetangaza kuwa tokea yaanze 'Maandamano ya Haki ya Kurejea' Machi 30 mwaka huu wa 2018, Wapalestina 180 wameuawa shahidi kwa kupigwa risasi na askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Jumuiya za kutetea haki za binadamu: Serikali ya al Sisi inakandamiza wapinzani

    Jumuiya za kutetea haki za binadamu: Serikali ya al Sisi inakandamiza wapinzani

    Aug 16, 2018 23:19

    Jumuiya saba za kutetea haki za binadamu nchini Misri zimeikosoa serikali ya nchi hiyo zikisisitiza kuwa mienendo yake dhidi ya wapinzani inakiuka sheria.

  • Watunisia waandamana kulalamikia ubaguzi wa Saudia katika kutoa viza kwa ajili ya Hijja

    Watunisia waandamana kulalamikia ubaguzi wa Saudia katika kutoa viza kwa ajili ya Hijja

    Aug 14, 2018 10:33

    Raia wa Tunisia wamefanya maandamano kulalamikia siasa za kibaguzi zinazotekelezwa na Saudi Arabia katika kutoa viza kwa ajili ya kushiriki ibada ya Hijja ya mwaka huu.

  • Watunisia waandamana kupinga mageuzi ya kijamii yaliyopendekezwa na kamati ya Rais

    Watunisia waandamana kupinga mageuzi ya kijamii yaliyopendekezwa na kamati ya Rais

    Aug 12, 2018 03:24

    Maelfu ya wananchi wa Tunisia wameandamana kupinga mageuzi ya kijamii yaliyopendekezwa na kamati iliyoundwa na rais wa nchi hiyo Beji Caid Essebsi.

  • Hamas yataka kuendeleza maandamano ya Kurejea

    Hamas yataka kuendeleza maandamano ya Kurejea

    Aug 10, 2018 11:49

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas amesisitiza kuwa wananchi wa Palestina wataendelea kufanya maandamano makubwa ya "Haki ya Kurejea" hadi pale malengo yao yatakapofanikishwa na kuvunjwa mzingiro wa Ghaza.

  • Wananchi wa Libya waandamana kulalamikia maisha magumu

    Wananchi wa Libya waandamana kulalamikia maisha magumu

    Aug 05, 2018 10:48

    Miji mingi ya Libya imekumbwa na maandamano ya wananchi wanaolalamikia maisha magumu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS