Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

maandamano

  • Wananchi wa Bahrain wafanya maandamano makubwa kuonyesha mshikamano wao kwa maulamaa walioko jela

    Wananchi wa Bahrain wafanya maandamano makubwa kuonyesha mshikamano wao kwa maulamaa walioko jela

    Jul 31, 2018 02:19

    Wananchi wa Bahrain jana usiku walifanya maandamano makubwa katika maeneo mbalimbali nchini humo lengo likiwa ni kuwaunga mkono na kuonyesha mshikamano wao kwa maulamaa na wanazuoni wa kidini wanaoshikiliwa kwenye jela za utawala wa Aal Khalifa.

  • Utawala wa Kizayuni wazidisha idadi ya wanajeshi wake katika mipaka ya Ukanda wa Ghaza

    Utawala wa Kizayuni wazidisha idadi ya wanajeshi wake katika mipaka ya Ukanda wa Ghaza

    Jul 26, 2018 23:33

    Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel imeongeza idadi ya wanajeshi wake katika mipaka ya Ukanda wa Ghaza kwa kuhofia maandamano ya raia wa Palestina katika Ijumaa ya 18 yajulikanayo kwa jina la "Haki ya Kurejea ambayo yanatazamiwa kufanyika leo katika maeneo ya mpaka wa Ghaza na Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Raia wazalendo wa Marekani waandamana dhidi ya siasa za Donald Trump

    Raia wazalendo wa Marekani waandamana dhidi ya siasa za Donald Trump

    Jul 22, 2018 23:29

    Raia asili wa Marekani na wasio wazungu, wamefanya maandamano kupinga siasa mbovu za hali ya hewa zinazotekelezwa na Rais Donald Trump wa nchi hiyo.

  • Maelfu waandamana Tel Aviv kupinga ubaguzi wa Israel

    Maelfu waandamana Tel Aviv kupinga ubaguzi wa Israel

    Jul 15, 2018 02:51

    Watu zaidi ya elfu saba wamefanya maandamano katika barabara za mji wa Tel Aviv kupinga muswada wa kibaguzi wa utawala haramu wa Israel.

  • Maandamano makubwa ya wananchi wa Uingereza wakipinga safari ya Trump mjini London

    Maandamano makubwa ya wananchi wa Uingereza wakipinga safari ya Trump mjini London

    Jul 13, 2018 10:53

    Wimbi kubwa la wananchi wa Uingereza limefanya maandamano makubwa kupinga ziara ya Rais wa Marekani mjini London. Maandamano hayo yamefanyika kufuatia wito uliotolewa na taasisi za kutetea haki za binadamu na harakati zinazopinga vita za nchini humo.

  • Maandamano dhidi ya chama tawala yafanyika Zimbabwe

    Maandamano dhidi ya chama tawala yafanyika Zimbabwe

    Jul 11, 2018 23:41

    Maelfu ya wafuasi wa upinzani jana Jumatano walijitokeza mabarabarani kushiriki maandamano dhidi ya chama tawala nchini Zimbabwe Zanu-pf katika mji mkuu Harare.

  • Polisi yatumia mabomu kuzima maandamano Uganda

    Polisi yatumia mabomu kuzima maandamano Uganda

    Jul 11, 2018 09:07

    Maafisa wa polisi nchini Uganda wametumia mabomu ya kutoa machozi kuzima maandamano ya wananchi waliomiminika katika barabara za mji mkuu Kampala, kulalamikia kodi mpya wanazotozwa watumiaji wa mitandao ya kijamii.

  • Maandamano yaendelea Nigeria kutaka Sheikh Zakzaky aachiliwe huru

    Maandamano yaendelea Nigeria kutaka Sheikh Zakzaky aachiliwe huru

    Jul 08, 2018 08:57

    Wananchi wameendelea kuandamana katika mji mkuu wa Nigeria, Abuja wakitaka serikali ya hiyo imuahcilie huru Sheikh Ibrahim Zakzaky kiongozi wa harakati ya Kiislamu nchini humo.

  • Mashahidi wa maandamano ya

    Mashahidi wa maandamano ya "Haki ya Kurejea" Palestina wamefika 144

    Jul 04, 2018 22:10

    Idadi ya Wapalestina waliouawa shahidi katika maandamano ya "Haki ya Kurejea" tangu yalipoanza tarehe 30 Machi mwaka huu imefikia 144 huku wengine wasiopungua 15,501 wakiwa wamejeruhiwa.

  • Jeshi la Israel lashambulia maandamano ya wanawake wa Kipalestina, 134 wajeruhiwa

    Jeshi la Israel lashambulia maandamano ya wanawake wa Kipalestina, 134 wajeruhiwa

    Jul 04, 2018 02:57

    Askari katili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameyashambulia kwa risasi hai maandamano ya wanawake wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza na kujeruhi 134 miongoni mwao.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS