-
Maelfu ya Wamarekani waandamana dhidi ya sera za Trump kuhusu wahajiri
Jun 30, 2018 21:13Maelfu ya watu wamefanya maandamano katika miji mbalimbali ya Marekani wakipinga sera na siasa za kuwapiga vita wahajiri hususan hatua ya Rais wa nchi hiyo, Donald Trump ya kuwatenganisha watoto wahajiri na wazazi wao.
-
Maandamano ya Siku ya Quds yanafanyika katika miji 900 ya Iran na miji 800 kote duniani
Jun 08, 2018 03:29Maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds yanafanyika leo Ijumaa katika miji 900 ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na katika miji mikubwa na midogo zaidi ya 800 kote duniani.
-
Futari ya kimaonyesho ya Trump yakabiliwa na maandamano
Jun 07, 2018 03:39Sambamba na kufanyika karamu ya futari iliyoiandaliwa na Rais Donald Trump wa Marekani, wanaharakati wa masuala ya kiraia wamefanya maandamano mbele ya Ikulu ya White House wakipinga siasa za chuki na ubaguzi za rais huyo dhidi ya Waislamu na wahajiri.
-
Maandamano yachachamaa Jordan, Waziri Mkuu alazimika kujiuzulu
Jun 04, 2018 09:57Waziri Mkuu wa Jordan amelazimika kujiuzulu kufuatia maandamano ya siku kadhaa ya wananchi, kulalamikia sera za kiuchumi za serikali ya nchi hiyo.
-
Wakenya waandamana kulaani ufisadi wa kifedha serikalini
May 31, 2018 10:18Mamia ya wananchi wa Kenya wamefanya maandamano hii leo katika mji mkuu Nairobi, kulalamikia kiwango kikubwa cha ufisadi wa fedha nchini humo.
-
Wazayuni waendelea kuwaua shahidi na kuwajeruhi Wapalestina
May 26, 2018 03:18Kijana mmoja wa Palestina ameuawa shahidi huku watu wengine 109 wakijeruhiwa katika maandamano ya 'Haki ya Kurejea' yaliyofanyika jana Ijumaa katika Ukanda wa Gaza.
-
Wananchi wa Morocco waandamana kulaani kuhamishiwa Quds ubalozi wa Marekani
May 21, 2018 03:27Makumi ya maelfu ya wananchi wa Morocco wamefanya maandamano katika mji wa Dār al-Bayḍā (Casablanca) kulaani hatua ya Marekani ya kuuhamishia Quds ubalozi wake uliokuweko Tel Aviv, mji mkuu wa utawala pandikizi wa Israel.
-
Wananchi wa Iran wafanya maandamano kulaani jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
May 18, 2018 10:15Wananchi wa Iran wamemiminika mabarabarani baada ya Sala ya Ijumaa hii leo kushiriki maandamanao ya kulaani vikali jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina, sambamba na uamuzi wa upande mmoja wa Marekani wa kuuhamishia ubalozi katika mji mtukufu wa Quds, kutoka Tel Aviv.
-
HAMAS: Maandamano ya Wapalestina katika mpaka wa Gaza yataendelea
May 15, 2018 03:32Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa maandamano ya amani ya Wapalestina katika mpaka wa Ukanda wa Gaza ya kupinga ubalozi wa Marekani Tel Aviv kuhamishiwa Baitul Muqaddas yataendelea.
-
Waisraeli wajiunga na Wapalestina katika maandamano dhidi ya US
May 13, 2018 03:16Mamia ya Waisraeli wamejiunga na Wapalestina katika maandamano ya kupinga hatua ya kiuhasama ya Marekani ya kuuhamishia ubalozi wake katika mji wa Quds Tukufu, kutoka Tel Aviv.