-
Mataifa ya Kiislamu yaandamana kupinga US kuuhamishia ubalozi wake Quds
May 12, 2018 02:54Maelfu ya watu wameshiriki maandamano ya kupinga hatua ya kiuhasama ya Marekani ya kuuhamishia ubalozi wake katika mji wa Quds Tukufu, kutoka Tel Aviv.
-
Upinzani nchini Madagascar wakataa upatanishi wa UN
May 08, 2018 12:25Upinzani nchini Madagascar umepinga upatanishi wa Umoja wa Mataifa katika mgogoro unaoendelea kutokota katika kisiwa hicho cha kusini mashariki mwa Afrika.
-
Maandamano dhidi ya rais wa Madagascar yanaendelea
Apr 28, 2018 11:46Zaidi ya wanaharakati 1,000 wanaoipinga serikali ya Madagascar wameendelea na maandamano yao kwa siku ya nane mfululizo wakimtaka rais wa nchi hiyo ajiuzulu.
-
Maelfu ya wanawake waandamana DRC kulaani wimbi la mauaji
Apr 28, 2018 03:10Maelfu ya wanawake wamefanya maandamano katika mji wa Beni, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kulishinikiza jeshi la nchi hiyo pamoja na kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa kukabiliana na wimbi la mauaji yanayofanywa na magenge ya waasi katika eneo hilo.
-
Baraza la Usalama latakiwa kuichukulia hatua Israel kwa kuwaua Wapalestina
Apr 28, 2018 03:07Balozi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amelitaka Baraza la Usalama la umoja huo liuchukulie hatua mara moja utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuendelea kuwaua shahidi Wapalestina wanaofanya maandamano ya amani katika mpaka wa Ghaza.
-
Je, Israel inatumia 'risasi za sumu' dhidi ya Wapalestina Gaza?
Apr 23, 2018 03:24Madaktari wa Palestina na wa kimataifa wameonyesha wasi wasi mkubwa walionao kuhusiana na majeraha mabaya yaliyosababishwa na risasi za wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya waandamanaji wa Kipalestina katika mpaka wa Gaza.
-
Maelfu ya Waisraeli waandamana kupinga udikteta wa Netanyahu
Apr 22, 2018 09:13Maelfu ya Waisraeli wamemiminika mabarabarani kushiriki maandamano ya kupinga kile waliochokitaja kama udikteta wa Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu sambamba na kushinikiza afungwe jela kutokana na kashfa za ufisadi wa kifedha zinazomuandama.
-
Balozi wa Palestina UN ataka kuchunguzwa jinai za Israel huko Gaza
Apr 20, 2018 23:40Balozi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa ametoa mwito kwa umoja huo kuunda kamisheni huru ya kuchunguza jinai za kutisha zinazofanywa na wanajeshi katili wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Maandamano yafanyika Marekani chini ya nara " Hatutaki vita Syria"
Apr 15, 2018 09:32Makumi ya wananchi wa Marekani wanaopinga vita wamefanya maandamano katika miji mbalimbli ya nchi hiyo kulalamikia kushambuliwa kijeshi Syria. Wanaharakati hao wanaopinga vita wameandamana baada ya kutekelezwa mashambulizi ya makombora dhidi ya Syria chini ya uongozi wa Marekani.
-
Hamas yajibu vitisho vya Israel, yasema maandamano yataendelea
Apr 10, 2018 03:00Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imesema maandamano makubwa ya amani yataendelea hadi pale mzingiro wa kibaguzi katika Ukanda wa Gaza utakapoondolewa.