-
Maandamano ya vijana Kenya yaendelea, waandamanaji wamtaka Rais Ruto aondoke madarakani
Jul 02, 2024 14:53Vijana wa Kenya, wengi wao wakiwa Generation Z, wamerejea barabarani katika maandamano yaliyopewa jina la #OccupyEverywhere dhidi ya utawala wa Rais William Ruto.
-
Bendera za Israel, US zachomwa moto Brazil katika maandamano ya kuiunga mkono Palestina
Jul 02, 2024 06:12Wananchi wenye hasira wa Brazil wamechoma moto bendera za Israel, Marekani na Umoja wa Ulaya wakati wa maandamano ya kuunga mkono Palestina na kupinga mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza.
-
Maandamano ya vijana yamlazimisha Ruto kuweka kando Muswada wa Fedha 2024
Jun 26, 2024 15:05Rais William Ruto wa Kenya amesema kwamba hatatia saini Muswada wa Fedha 2024 kuwa sheria. Ni baada ya maandamano makubwa ya siku kadhaa yaliyofuatiwa na mauaji ya waandamanaji mjini Nairobi jumanne ya jana.
-
Polisi wa Kenya washutumiwa kwa kumuua mmoja wa waandamanaji Nairobi
Jun 21, 2024 07:57Asasi za kiraia na mashirika ya kutetea haki za binadamu yameijia juu polisi ya Kenya kwa tuhuma za kumuua kwa kumpiga risasi mmoja wa waandamanaji wanaopinga mpango wa kuongeza ushuru, kodi na tozo.
-
Kuendelea uungaji mkono wa kimataifa kwa watu wa Gaza
Jun 02, 2024 06:31Wananchi wa maeneo tofauti ya dunia wanaendela kufanya maandamano na mikusanyiko kwa ajili ya kuwaunga mkono wananchi madhulumu na wanaosimama imara wa Ukanda wa Gaza na kusisitiza juu ya kusimamishwa jinai za utawala wa Kizayuni katika ukanda huo.
-
Jihadul-Islami: Tunautazama mpango uliopendekezwa na Biden kwa 'jicho la shaka'
Jun 01, 2024 11:13Harakati ya Muqawama ya Jihadul-Islami ya Palestina imesema inautazama kwa jicho la shaka mpango uliotangazwa na Rais wa Marekani kwa ajili ya kuhitimisha vita vya Ghaza.
-
Watunisia waandamana kupinga 'uingiliaji wa kigeni'
May 20, 2024 06:54Wananchi wa Tunisia wamefanya maandamano kulaani na kupinga hatua ya nchi za Magharibi ya kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo.
-
Maandamano ya kuunga mkono Palestina na Ghaza yaendelea katika miji mbalimbali duniani
May 13, 2024 04:04Watu wa miji tofauti katika nchi mbalimbali duniani, kwa mara nyingine wamemiminika mabarabarani wakiandamana kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina hususan wa Ukanda wa Ghaza na kulaani jinai za mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala dhalimu wa Kizayuni wa Israel katika eneo hilo.
-
Rais wa Marekani: Nimeupata ujumbe wa wanafunzi wanaounga mkono watu wa Palestina
May 09, 2024 12:23Baada ya zaidi ya wiki tatu za maandamano ya wanafunzi wa vyuo vikuu vya Marekani na wahadhiri wanounga mkono taifa la Palestina, Rais Joe Biden wa nchi hiyo amesema ameupata ujumbe wao.
-
Polisi waondoa kambi ya waungaji mkono wa Palestina katika Chuo Kikuu cha California Kusini
May 06, 2024 04:39Polisi wa Los Angeles huko Marekani wameondoa kambi ya watu wanaoiunga mkono Palestina pambizoni mwa uwanja wa chuo kikuu cha California kusini.