-
HAMAS: Wavamizi hawatokuwa salama ndani ya ardhi ya Palestina
Feb 17, 2025 04:34Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imeuzungumzia mpango wa kutaka kuwahamisha kwa nguvu wakazi wa Ghaza na kutangaza kuwa wavamizi hawatokuwa salama ndani ya ardhi hiyo ya Palestina.
-
Iran: Marekani na Israel ndizo sababu kuu za ukosefu wa usalama Magharibi mwa Asia
Jan 17, 2024 14:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Marekani na Israel ndizo chanzo kikuu cha ukosefu wa usalama katika eneo la Magharibi mwa Asia.
-
Rais Kagame dunia ichukue hatua za kusitisha mizozo
Sep 21, 2023 03:02Rais Paul Kagame wa Rwanda amesema, pamoja na changamoto zinazoendelea duniani ikiwa ni pamoja na athari mbaya za janga la COVID19 na mabadiliko ya tabianchi, kuna haja ya kuwa na dunia yenye amani na matumaini, na kwa msingi huo amesisitiza kuwa, “tusipoze tu joto linaloathiri tabianchi bali pia tupoze mizozo.”
-
Kenya kupeleka vikosi maalumu pwani na kaskazini kukabiliana na ukosefu wa usalama
Sep 21, 2023 02:35Serikali ya Kenya inapanga kupeleka vikosi maalumu katika maeneo ya kaskazini na pwani ili kukabiliana na tishio la ugaidi kufuatia ongezeko la mashambulizi ya kigaidi katika maeneo hayo.
-
Macron adai waliofanya mapinduzi Niger "wanamshikilia" balozi wa Ufaransa
Sep 16, 2023 08:10Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, alidai jana Ijumaa kwamba balozi wa nchi yake nchini Niger, Sylvain Itte, "anazuiliwa" na utawala wa kijeshi wa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika, akiashiria kwamba chakula anachokula ni "mgao wa chakula cha kijeshi."
-
Ghasia na machafuko ya kikabila yashamiri zaidi Sudan, idadi ya waliouawa ni 79
Jul 19, 2022 14:34Ghasia machafuko ya kikabila yaliyoanzia katika Jimbo la Blue Nile nchini Sudan yamepanuka zaidi na kuingia katika majimbo kadhaa ya nchi hiyo, huku maelfu ya watu wa kabila la Hausa wakiandamana na kufunga barabara katika maeneo kadhaa kupinga ghasia hizo, ambazo wanasema ziliwalenga wao katika Jimbo la Blue Nile.
-
Rais wa Guinea-Bissau: Kinara wa dawa za kulevya amehusika na mapinduzi yaliyofeli
Feb 12, 2022 02:57Rais wa Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embalo, amemshutumu mkuu wa zamani wa jeshi la wanamaji anayehusishwa na biashara ya dawa za kulevya na washirika wake wawili kuwa walihusika na mapinduzi yaliyoshindwa mapema mwezi huu.
-
Saiful Islam Gaddafi kukatiza ndoto ya Khalifa Haftar ya kutawala Libya?
Dec 04, 2021 02:37Kurejea kwa Saif al-Islam Gaddafi katika kinyang'anyiro cha urais, kutokana na uamuzi wa Mahakama ya Sabha (kusini mwa Libya), kumechanganya tena karata nchini Libya, hasa kutokana na kukithiri kwa mizozo na mivutano kati yake na Jenerali mstaafu, Khalifa Haftar katika maeneo ya kusini mwa nchi hiyo.
-
Le Monde: Sudan inaishi siku zake mbaya zaidi za umwagaji damu tangu baada ya mapinduzi
Nov 19, 2021 02:58Gazeti la Le Monde la Ufaransa limeripoti kuwa Sudan inaishi katika kipindi kibaya zaidi cha ukandamizaji na mauaji ya raia tangu baada ya mapinduzi ya kijeshi ya tarehe 25 Oktoba mwaka huu yaliyoindoa madarakani serikali ya kipindi cha mpito.
-
Cyril Ramaphosa asema, machafuko ya Afrika Kusini 'yamechochewa na kupangwa'
Jul 17, 2021 03:15Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesema kuwa ghasia kubwa na uporaji ambao umeitikisa nchi hiyo kwa wiki nzima iliyopita vilipangwa na kuchochewa. Ramaphosa ameyasema hayo wakati wa ziara yake ya kwanza katika maeneo yaliyoathiriwa na machafuko mabaya zaidi kuwahi kutokea nchini humo katika kipindi cha baada ya utawala wa ubaguzi wa rangi, Apartheid.