-
Umoja wa Afrika watoa wito wa kurejeshwa amani na utulivu Afrika Kusini
Jul 14, 2021 09:46Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Moussa Faki Mahamat, amelaani kwa nguvu zote vurugu na machafuko makubwa yanayoendelea nchini Afrika Kusini baada ya rais wa zamani wa nchi hiyo, Jacob Zuma kufungwa jela miezi 15 kwa tuhuma za kuhusika na ufisadi na utumiaji mbaya wa madaraka yake.
-
Afrika Kusini: Watu wasiopungua 45 wameuawa katika maandamano ya kumuunga mkono Zuma
Jul 13, 2021 12:55Idadi ya waliofariki dunia kutokana na vurugu na uporaji unaoendelea Afrika Kusini kwa siku kadhaa sasa imeongezeka hadi 45.
-
AU yashtushwa na machafuko ya baada ya uchaguzi CAR
Feb 21, 2021 07:45Umoja wa Afrika umeeleza wasi wasi wake kutokana na kushtadi machafuko ya baada ya uchaguzi huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Majimbo 7 ya Sudan yatangaza hali ya hatari, raia waendeleza maandamano ya kulalamika hali mbaya
Feb 12, 2021 02:42Majimbo saba ya Sudan yametangaza hali ya hatari kufuatia maandamano ya siku kadhaa mtawalia katika maeneo kadhaa ya nchi hiyo ambapo wananchi wanalalamikia hali mbaya ya maisha na ughali na uhaba wa bidhaa muhimu.
-
ICC: Tuna ushahidi wa kutosha wa kuwafungulia mashtaka maafisa wa Nigeria
Dec 12, 2020 03:28Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, ICC, amesema kuwa, ana ushahidi wa kutosha wa kuweza kuwafungulia mashtaka maafisa wa Nigeria kuhusu mateso na ukandamizaji waliofanyiwa wananchi wa nchi hiyo.
-
Buhari ataka kukomeshwa maandamano, machafuko yaendelea Abuja
Oct 23, 2020 10:28Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria ametoa wito wa kukomesha machafuko na maandamano yanayoendelea katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo kufuatia mauaji ya raia waliokuwa wakiandamana kupinga ukatili wa polisi.
-
Watu 10 wauawa katika machafuko ya baada ya uchaguzi Guinea
Oct 22, 2020 03:44Kwa akali watu 10 wameuawa katika ghasia za baada ya uchaguzi katika mji mkuu wa Guinea, Conakry, huku taifa hilo likiendelea kusubiri kwa hamu na shauku kuu matokea ya uchaguzi huo wa Oktoba 18.
-
Ripoti za jaribio la mapinduzi Mali, milio ya risasi yasikika Bamako, na mawaziri watiwa nguvuni
Aug 18, 2020 13:38Jeshi la Mali limeweka vizuizi katika kambi moja iliyopo katika viunga vya mji mkuu wa nchi hiyo, Bamako huku raia wa eneo hilo wakisema kuwa milio ya risasi inaendelea kusikika katika eneo hilo.
-
Machafuko yatanda katika mji wa Port Sudan kutokana na hitilafu za kikabila
Aug 10, 2020 09:50Gavana wa jimbo la Bahrul Ahmar nchini Sudan amepiga marufuku watu kutembea katika baadhi ya mji wa Port Sudan ambao ni wa pili kwa ukubwa nchini Sudan kutokana na ghasia zilizotokana na hitilafu za kikabila ambazo zimesababisha mauaji ya watu kadhaa na kujeruhi makumi ya wengine.
-
Ghasia zashtadi India, waliouawa New Delhi wafika 24
Feb 27, 2020 02:25Idadi ya waliouawa katika ghasia zilizosababishwa na sheria tatu yenye kuwabagua Waislamu katika mji mkuu wa India, New Delhi imeongezeka na kufikia watu 24.