-
Ripoti za jaribio la mapinduzi Mali, milio ya risasi yasikika Bamako, na mawaziri watiwa nguvuni
Aug 18, 2020 09:08Jeshi la Mali limeweka vizuizi katika kambi moja iliyopo katika viunga vya mji mkuu wa nchi hiyo, Bamako huku raia wa eneo hilo wakisema kuwa milio ya risasi inaendelea kusikika katika eneo hilo.
-
Machafuko yatanda katika mji wa Port Sudan kutokana na hitilafu za kikabila
Aug 10, 2020 05:20Gavana wa jimbo la Bahrul Ahmar nchini Sudan amepiga marufuku watu kutembea katika baadhi ya mji wa Port Sudan ambao ni wa pili kwa ukubwa nchini Sudan kutokana na ghasia zilizotokana na hitilafu za kikabila ambazo zimesababisha mauaji ya watu kadhaa na kujeruhi makumi ya wengine.
-
Ghasia zashtadi India, waliouawa New Delhi wafika 24
Feb 26, 2020 22:55Idadi ya waliouawa katika ghasia zilizosababishwa na sheria tatu yenye kuwabagua Waislamu katika mji mkuu wa India, New Delhi imeongezeka na kufikia watu 24.
-
Iran: Miungano ya Marekani inasababisha machafuko kote ulimwenguni
Nov 09, 2019 10:03Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, miungano mbalimbali inayoundwa na Marekani inasababisha machafuko katika kona zote za dunia na kuhatarisha usalama na amani ya kila eneo lenye miungano hiyo.
-
Waislamu Ujerumani wazidi kuandamwa na vitendo vya chuki na ubaguzi
Nov 02, 2019 23:02Mmoja wa viongozi wa Kiislamu nchini Ujerumani amesema kuwa, Waislamu wa nchi hiyo ya bara Ulaya wanazidi kuandamwa na mashambulio ambayo chimbuko lake ni vitendo vya ubaguzi na chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu.
-
Madaktari wasio na mipaka (MSF) wakabiliana na ukosefu wa usalama huko Niger
Aug 10, 2019 23:22Wafanyakazi wa Jumuiya ya Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) nchini Niger wamelazimika kuondoka kusini mashariki mwa nchi hiyo kutokana na ukosefu wa usalama.
-
Jeshi la Ethiopia kulinda usalama katika mkoa wa Kusini ulioathiriwa na machafuko
Jul 23, 2019 23:25Ethiopia imetangaza kuwa vikosi vya ulinzi na askari usalama wa nchi hiyo ndio watasimamia ulinzi na usalama katika mkoa wa kusini ulioathiriwa na machafuko nchini humo. Machafuko hayo yemeendelea kwa siku kadhaa na kusababisha watu 18 kupoteza maisha.
-
Watu kadhaa wauawa katika machafuko mapya nchini Sudan
May 14, 2019 03:15Sambamba na kuanza duru mpya ya mazungumzo kuhusiana na suala la kukabidhiwa madaraka ya Sudan kwa utawala wa kirai jana Jumatatu, imearifiwa kuwa watu sita wakiwemo maafisa usalama wameuawa au kujeruhiwa katika machafuko mapya yaliyoibuka katika mji mkuu Khartoum jana jioni.
-
Unicef yataja nchi zenye ukosefu mkubwa wa amani kwa watoto
Jan 06, 2019 11:08Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) umetangaza katika ripoti yake kuwa mustakbali wa mamilioni ya watoto wanaoishi katika nchi zilizokumbwa na vita uko hatarini.
-
Vyama vikuu vya upinzani Sudan vyaafikiana kuunga mkono maandamano ya wananchi
Dec 24, 2018 11:35Vyama vikuu vya upinzani nchini Sudan vimeafikiana kuunga mkono vuguvugu la maandamano ya wananchi katika miji mbalimbali wanaopinga hali mbaya ya kiuchumi na ughali wa maisha.