-
Familia 1,200 zahama makazi yao kutokana na mafuriko Khartoum, Sudan
Oct 06, 2025 07:15Zaidi ya familia 1,200 za Sudan zimefurushwa katika nyumba zao na mafuriko katika mji wa Bahri katika jimbo la Khartoum, Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) lilisema hayo jana Jumapili.
-
Jenerali wa Marekani aliyesema vituo vya nyuklia vya Iran viliharibika kidogo tu atimuliwa
Aug 23, 2025 09:37Waziri wa Ulinzi wa Marekani Pete Hegseth amemfukuza kazi jenerali ambaye tathmini yake ya awali ya kiintelijensia aliyotoa ilimkasirisha Rais wa nchi hiyo Donald Trump kwa kuripoti kwamba shambulio la kijeshi ililofanya Washington mwezi Juni dhidi ya vituo vya nyuklia vya lilisababisha uharibifu mdogo tu kwa vituo hivyo.
-
Makumi waaga dunia kwa mafuriko nchini Niger, maelfu waathirika
Aug 21, 2025 05:42Kwa uchache watu 47 wamepoteza maisha, huku zaidi ya 56,000 wakilazimika kuhama makazi yao kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha hivi majuzi nchini Niger.
-
Helikopta ya misaada yaanguka huku idadi ya waliofariki kwa mafuriko nchini Pakistan ikifikia 227
Aug 16, 2025 05:08Helikopta iliyokuwa imebeba vifaa vya misaada imeanguka na kusababisha vifo vya wahudumu watano wakiwemo marubani wawili mkoani Khyber Pakhtunkhwa kaskazini magharibi mwa Pakistani huku idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na mvua kali na mafuriko nchini kote ikifikia 227.
-
Wahanga wa mafuriko ya Texas, Marekani yaongezeka hadi watu 50
Jul 06, 2025 07:51Kufuatia mafuriko makubwa yaliyotokea katika jimbo la Texas nchini Marekani, mamlaka za eneo hilo zimetangaza kuwa idadi ya waliofariki dunia imepindukia 50 na wengine wasiopungua 29 hawajulikani waliko.
-
Mafuriko Msumbiji: Maelfu wapoteza makazi huku shule zikifungwa
Feb 23, 2025 07:46Mafuriko makubwa yaliyoiathiri Botswana yamesababisha vifo vya watu saba wakiwemo watoto watatu na kuharibu nyumba za maelfu ya watu baada ya siku kadhaa za mvua kubwa kunyesha kote nchinu humo. Haya yamebainishwa jana na Rais Duma Boko wa nchi hiyo.
-
Watu milioni 1.9 waathiriwa na mafuriko Chad huku mikoa yote 23 ikiathiriwa
Oct 13, 2024 02:12Mikoa yote 23 ya Chad imeathiriwa na mafuriko makubwa yaliyosababishwa na mvua kubwa nchini humo.
-
Mafuriko yaua makumi ya watu nchini Niger
Sep 01, 2024 06:44Mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa yamesababisha vifo vya watu 20 na kujeruhi makumi ya wengine katika eneo la Maradi, kusini mwa Niger.
-
OIC yasikitishwa na mafuriko yaliyoua mamia ya watu katika nchi kadhaa za Afrika
Aug 26, 2024 02:29Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imetangaza mshikamano na serikali na wananchi wa Burkina Faso, Mali, Niger, Nigeria, na Chad ambao wameathiriwa na mafuriko makubwa tangu Agosti 16.
-
Mafuriko yaua zaidi ya watu 50 kaskazini mwa Chad
Aug 16, 2024 10:39Watu wasiopungua 54 wamefariki dunia kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika jimbo la Tibesti la kaskazini mwa Chad.