Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

mafuta

  • Sekta ya mafuta ya Iran inaendelea kustawi licha ya vikwazo vya Marekani

    Sekta ya mafuta ya Iran inaendelea kustawi licha ya vikwazo vya Marekani

    Sep 14, 2019 11:39

    Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema sekta ya mafuta na gesi ya taifa hili inaendelea kustawi na kuimarika licha ya vikwazo vya kidhalimu vya Marekani.

  • Mfalme wa Saudia amteua mwanae kuwa waziri wa nishati

    Mfalme wa Saudia amteua mwanae kuwa waziri wa nishati

    Sep 08, 2019 07:46

    Mfalme wa Saudi Arabia amemfuta kazi waziri wa nishati Khalid Al-Falih na kumteua mwanae kuchukua nafasi hiyo.

  • Novak: Russia kuwekeza zaidi katika sekta ya mafuta ya Iran

    Novak: Russia kuwekeza zaidi katika sekta ya mafuta ya Iran

    Sep 06, 2019 07:54

    Waziri wa Nishati wa Russia amesema kuwa nchi yake inachunguza uwezekano wa kuwekeza zaidi katika uzalishaji wa mafuta nchini Iran.

  • Baada ya kushambuliwa na jeshi la Yemen, Saudia yalazimika kupandisha bei ya mafuta, wananchi wakasirika

    Baada ya kushambuliwa na jeshi la Yemen, Saudia yalazimika kupandisha bei ya mafuta, wananchi wakasirika

    Jul 14, 2019 10:31

    Shirika kubwa zaidi la mafuta la Saudi Arabia la Aramco ambalo hivi karibuni lilipata hasara kubwa baada ya kushambuliwa na ndege zisizo za rubani za jeshi na kamati za kujitolea za wananchi wa Yemen, limelazimika kupandisha bei ya mafuta nchini humo ili kufidia hasara hizo kutoka kwenye mifuko ya wananchi.

  • Zarif: Liwe liwalo, Iran itaendelea kuuza mafuta yake nje

    Zarif: Liwe liwalo, Iran itaendelea kuuza mafuta yake nje

    Jul 14, 2019 06:37

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria vikwazo haramu vya Marekani dhidi ya taifa hili na kusisitiza kuwa, Tehran itaendelea kuyauza mafuta yake nje ya nchi bila kubabaishwa na chochote.

  • China yajibu vitisho vya Marekani vya kuitaka Hong Kong izizuie meli za mafuta za Iran

    China yajibu vitisho vya Marekani vya kuitaka Hong Kong izizuie meli za mafuta za Iran

    Jun 02, 2019 06:58

    Serikali ya China imetupilia mbali vitisho vya Marekani vya kuitaka kuziwekea vikwazo meli za mafuta za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zisitie nanga na kutoa huduma zake katika bandari ya Hong Kong.

  • China yapuuzilia mbali vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    China yapuuzilia mbali vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Jun 01, 2019 07:51

    Serikali ya China imepuuzilia mbali vikwazo vya mafuta vya Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Tehran na imeanza kuagiza shehena ya mafuta yake kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Yemen yazionya Saudi Arabia na Imarati na kuahidi kujibu jinai zote wanazofanyiwa wananchi wa Yemen

    Yemen yazionya Saudi Arabia na Imarati na kuahidi kujibu jinai zote wanazofanyiwa wananchi wa Yemen

    May 15, 2019 07:37

    Msemaji wa Majeshi ya Yemen amezionya nchi vamizi za Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kwamba operesheni za vikosi vya Yemen zitaendelea na hazitoishia nchini Saudia na mjini Riyadh tu.

  • Tahadhari ya Katibu Mkuu wa OPEC kuhusu taathira hasi za kuiwekea Iran vikwazo vya mafuta

    Tahadhari ya Katibu Mkuu wa OPEC kuhusu taathira hasi za kuiwekea Iran vikwazo vya mafuta

    May 04, 2019 03:38

    Hatua ya serikali ya Marekani kuiwekea Iran vikwazo vya mafuta baada ya kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA imekabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa wanunuzi wa mafuta ghafi ya petroli ya Iran katika soko la kimataifa na pia kutoka kwa wakuu wa Shirika la Nchi Zinazouza Mafuta kwa Wingi Duniani (OPEC).

  • OPEC: Ni muhali kuyaondoa mafuta ya Iran katika soko la dunia

    OPEC: Ni muhali kuyaondoa mafuta ya Iran katika soko la dunia

    May 02, 2019 13:40

    Katibu Mkuu wa Shirika la Nchi Zinazouza Mafuta kwa Wingi Duniani (OPEC) amesema ni muhali kuyaondoa mafuta ya Iran katika soko la kimataifa na kwamba shirika hilo linafanya juu chini kuhakikisha kuwa siasa haziingizwi katika biashara ya mafuta.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS