-
Watu 26 wahukumiwa kifo Kongo DR kwa 'jinai za kivita'
Aug 08, 2024 23:57Watu wasiopungua 26 wamehukumiwa kifo na mahakama ya kijeshi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, baada ya kupatikana na hatia katika mashitaka matatu yaliyokuwa yakiwakabili.
-
Mahakama Iran: Sharti US iwape fidia wagonjwa wa kipepeo kutokana na vikwazo
Jul 11, 2024 23:34Mahakama moja nchini Iran imeiagiza Marekani kulipa takriban dola bilioni 7 kama fidia kwa waathiriwa wa ugonjwa wa ngozi wa Epidermolysis Bullosa (EB) nchini Iran.
-
Wamarekani 3 kizimbani wakihusishwa na jaribio la mapinduzi DRC
Jun 06, 2024 23:16Raia watatu wa Marekani na mmoja wa Uingereza ni miongoni mwa makumi ya watu wanaotazamiwa kufikishwa katika Mahakama ya Kijeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo leo Ijumaa, wakituhumiwa kuhusika na jaribio la mapinduzi katika nchi hiyo ya katikati mwa Afrika.
-
Zuma: Nitapigania haki yangu ya kuwania ubunge Afrika Kusini
May 24, 2024 03:53Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ameapa kupigania kile alichokiita 'haki yake' ya kugombea ubunge katika uchaguzi mkuu unaotazamiwa kufanyika wiki ijayo.
-
Mahakama ya Nigeria yatoa hukumu dhidi ya Polisi kwa kushambulia matembezi ya Ashura
May 01, 2024 07:23Mahakama Kuu ya Shirikisho ya Nigeria katika Jimbo la Kaduna imetoa hukumu dhidi ya Polisi ya nchi hiyo kwa kushambulia waumini katika matembezi ya amani ya Siku ya Ashura yaliyofanyika katika mji wa Zaria.
-
Mahakama ya Juu Comoro 'yabariki' ushindi wa Rais Azali Assoumani
Jan 25, 2024 07:43Mahakama ya Juu ya Comoro imesema Rais Azali Assoumani alichaguliwa kihalali katika uchaguzi wa rais uliofanyika wiki iliyopita.
-
Hatua za undumakuwili za nchi za Ulaya kuhusu ugaidi
Jan 13, 2024 23:13Mahakama ya Rufaa ya Denmark inayojulikana kwa jina la "The Eastern High Court" Ijumaa tarehe 12 Januari ilipasisha hukumu ya kifungo jela kwa watu watatu ambao ni wanachama wa kundi linalotaka kujitenga la "Al Ahwaziya" ambao walituhumiwa kueneza ugaidi nchini na kukusanya taarifa za kijasusi kwa ajii ya Shirika la ujasusi la Saudi Arabia.
-
Mahakama Senegal 'yaridhia' kiongozi wa upinzani agombee urais
Dec 15, 2023 07:02Mahakama Kuu mjini Dakar imeamuru kusajiliwa upya kwa Ousmane Sonko, kiongozi wa upinzani nchini Senegal katika daftari la wapigakura, na hivyo kumruhusu kuwa mgombea urais.
-
Mahakama ya Iran kuwashtaki magaidi 100 wa MKO
Jul 29, 2023 06:45Mahakama kuu ya jinai ya Iran inatazamiwa kuwapandisha kizimbani wanachama zaidi ya 100 wa kundi la kigaidi la Munafikin (MKO) ambalo limefanya mauaji ya makumi ya maelfu ya wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Ghana yapinga juhudi za kuzima sheria ya kukabiliana na ushoga
Jul 20, 2023 03:43Mahakama ya Kilele ya Ghana imetupilia mbali pingamizi la kisheria lililotaka kuzuiwa Bunge la nchi hiyo kupasisha muswada wa sheria kali ya kukabiliana na vitendo vichafu vya ubaradhuli nchini humo.