-
Amir-Abdollahian: Iran haitoruhusu Israel kuhatarisha usalama wa ukanda huu
Apr 16, 2024 10:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaamini kwamba usalama na utulivu wa nchi za eneo hili zima ni muhimu sana kwake, bali ni sawa kabisa na usalama wake yenyewe na haitoruhusu utawala wa Kizayuni kuhatarisha usalama wa eneo hili kwa chokochoko zake.
-
Malaysia: Tunaunga mkono kwa dhati Muqawama wa Palestina dhidi ya uvamizi wa Israel
Mar 13, 2024 02:47Waziri Mkuu wa Malaysia amesema anaunga mkono kwa dhati Muqawama wa makundi ya Wapalestina dhidi ya mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Malaysia: Magharibi ni mshirika wa jinai za Israel kwa kimya chake
Jan 17, 2024 07:42Waziri Mkuu wa Malaysia amezikosoa vikali nchi za Magharibi kwa kuendelea kufumbia macho matukio ya Gaza na kusisitiza kuwa, Wamagharibi ni washirika wa jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina kwa kimya chao hicho.
-
Kulaaniwa kimataifa veto ya Marekani dhidi ya azimio la Baraza la Usalama la kusitisha vita vya Gaza
Dec 11, 2023 02:48Kitendo cha kinyama na cha kijinai cha Marekani cha kulipigia kura ya veto azimio la kusitisha vita Gaza katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kimeendelea kulaaniwa kimataifa.
-
Kuendelea uungaji mkono wa jamii ya kimataifa hususan nchi za Kiislamu kwa wananchi wa Gaza
Oct 18, 2023 02:28Sambamba na kupita zaidi ya siku kumi tangu utawala wa Kizayuni wa Israel uanze kufanya jinai dhidi ya wananchi wa Gaza, himaya na uungaji mkono wa kimataifa kwa watu wa Gaza na wanamapambano wa Palestina nao unaendelea.
-
Erdogan na Anwar Ibrahim walaani kuvunjiwa heshima Qur'ani katika nchi za Ulaya
Sep 21, 2023 03:49Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, na Waziri Mkuu wa Malaysia, Anwar Ibrahim, wamelaani vikali vitendo vya kuchomwa moto nakala za Qur'ani Tukufu katika nchi za Ulaya, na hotuba zinazochochea ouvu, chuki na mashambulizi dhidi ya Uislamu na Waislamu.
-
Kujiunga Jumuiya ya ASEAN na juhudi za kutumia sarafu za kieneo badala ya dola
Sep 02, 2023 02:43Kufuatia kutiwa saini makubaliano ya kifedha kati ya Indonesia, Malaysia na Thailand, sarafu za ndani za nchi hizo sasa zitaanza kutumika katika masoko ya biashara ya Jumuiya ya Kusini Mashariki mwa Asia (ASEAN).
-
Kufichuliwa kashfa ya ujasusi wa utawala wa Kizayuni nchini Malaysia
Oct 22, 2022 02:40Waziri wa Mambo ya Ndani wa Malaysia, Hamzah bin Zainudin, ametangaza kuwa nchi hiyo imeanza uchunguzi kuhusu nafasi ya shirika la ujasusi la utawala wa Kizayuni wa Israel (MOSSAD) katika kutekwa nyara Mpalestina huko Kuala Lumpur.
-
Mahakama yaidhinisha hukumu ya kifungo dhidi ya Waziri mkuu wa zamani wa Malaysia
Aug 24, 2022 08:00Najib Razaq, Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia ameshindwa katika kesi yake ya mwisho ya rufaa katika kesi ya ufisadi iliyomhusisha na ufisadi mkubwa wa fedha za umma.
-
Pakistan, Uturuki na Malaysia kuasisi televisheni ya kupambana na chuki dhidi ya Uislamu
Dec 20, 2021 09:12Waziri wa Habari na Turathi za Taifa wa Pakistan amesema, nchi hiyo kwa kushirikiana na Uturuki na Malaysia zitaanzisha chaneli ya televisheni kwa lengo la kukabiliana na kampeni za uenezaji chuki dhidi ya Uislamu duniani.